CRDB yachangia sherehe za Muungano
BENKI ya CRDB imekabidhi Sh 800,000 kwa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kuchangia gharama za maandalizi ya maadhimisho ya kihistoria ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog12 Apr
CRDB yaipiga jeki ubalozi wa Tanzania Marekani kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za Muungano
11 years ago
GPLCRDB YAIPIGA JEKI UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA SHEREHE YA MUUNGANO
 Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Bwn. Saugata Bandyopadhyay CRDB Deputy Managing Director (operations and customer services)  Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Bwn. Alex Ngusaru Director of Treasery wa CRDB…
11 years ago
Michuzi
BENKI YA CRDB YACHANGIA MILIONI 20 UJENZI WA KANISA LA KKKT JIMBO LA HAI


11 years ago
TZToday27 Apr
10 years ago
Vijimambo22 Apr
SHEREHE ZA MUUNGANO DMV.
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA MUUNGANO DMV
11 years ago
Michuzi
SHEREHE ZA MUUNGANO JIJINI HOUSTON,TX

Sisi kama Watanzania tunaamini kuwa ni siku hii tukufu inayotupatia UTANZANIA wetu tunaojisifia, kujivunia, na hata kuupigania kote ulimwenguni.
Tafadhali rejea kiambata hapo...
11 years ago
Michuzi.jpg)
10 years ago
Michuzi
SHEREHE ZA MUUNGANO KUALA LUMPUR.
Balozi wa Tanzania Nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima na Mrs Mkola Mlima pamoja na Wafanyakazi wa Ubalozi wakiwapokea wageni katika kuadhimisha sherehe za miaka 51 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sherehe hiyo iliyofanyika katika Hotel ya InterContinental Iliyopo Kuala Lumpur ilihudhuriwa na wageni 300 wakiwepo Mabalozi, wawakilishi na viongozi mbali mbali kutoka sekta binafsi na fedha waliopo hapa Kuala Lumpur na baadhi ya wanafunzi na watanzania walioweza kushiriki.
Serikali...
Sherehe hiyo iliyofanyika katika Hotel ya InterContinental Iliyopo Kuala Lumpur ilihudhuriwa na wageni 300 wakiwepo Mabalozi, wawakilishi na viongozi mbali mbali kutoka sekta binafsi na fedha waliopo hapa Kuala Lumpur na baadhi ya wanafunzi na watanzania walioweza kushiriki.
Serikali...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania