Cristiano Ronaldo afanya mapumziko nchini Morocco (Picha)
Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo yupo nchini Morocco mapumzikoni baada ya kuifanikisha timu yake ya taifa ya Ureno kupata ushindi bao 1-0 na kufuzu Euro 2016. Ronaldo akiwa mapumzikoni akila bata na bondia wa uzito wa juu wa kickboxing, Badr Hari walipokutana Morocco Staa huyo alichukua nafasi hiyo kwenda kula bata na rafiki yake […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo528 Oct
Picha: Cristiano Ronaldo aonesha viatu vyake vipya vya CR7
10 years ago
GPLCRISTIANO RONALDO MCHEZAJI BORA ULAYA
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Cristiano Ronaldo afikisha mabao 500
MADRID, HISPANIA
NYOTA wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amefanikiwa kufikisha mabao 500 katika historia yake ya soka baada ya juzi kuifungia klabu yake mabao mawili katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Malmo.
Mabao hayo ya Ronaldo yametokana na kucheza michezo 753 katika klabu mbalimbali pamoja na timu yake ya taifa ya Ureno.
Hata hivyo, amekuwa ni mchezaji ambaye anaongoza kwa mabao mengi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa, huku akiwa na jumla ya mabao 82, akimuacha...
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Cristiano Ronaldo atwaa tuzo ya BBC.
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Sanamu ya Cristiano Ronaldo yazinduliwa, haifanani naye
Madeira is a pretty big Portuguese island that is known for two things: wine and Cristiano Ronaldo.
The Real Madrid superstar is the island’s greatest export (but if you can have wine and Ronaldo together, more power to you), and they honored him on Sunday by unveiling a statue of him. The only problem is that the statue looked nothing like him.
1.They got his free kick stance right! Kind of. It’s right based on the curve established by the rest of the statue.
2.Ronaldo has a very unique...
9 years ago
Bongo501 Oct
Cristiano Ronaldo aifikia rekodi ya Raul, Real ikishinda 2-0
9 years ago
Bongo529 Sep
Hii ni trailer ya movie ya Cristiano Ronaldo inayotoka mwezi 11
10 years ago
Bongo529 Aug
Cristiano Ronaldo achukua tuzo ya mwanasoka bora wa Ulaya