CUF yakamilisha safu yake
HATIMAYE Chama cha Wananchi (CUF) kimekamilisha mchakato wa kuchagua safu ya uongozi wa kitaifa kwa kuwachagua wajumbe 45 wa Baraza Kuu la Uongozi Taifa, 20 kati yao wakitokea Zanzibar. Wajumbe...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Coastal yakamilisha programu yake Oman
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-di7MxfRLY4I/U53aX3Hiq1I/AAAAAAAFqyQ/ytF9YEvu8w4/s72-c/unnamed+(40).jpg)
CUF kinaendelea na maandalizi yake kwa ajili ya Mkutano Mkuu Taifa
Chama Cha Wananchi CUF kinaendelea na maandalizi yake kwa ajili ya Mkutano Mkuu Taifa utakaoambatana na uchaguzi wa viongozi wakuu wa Kitaifa wa Chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi kuu za Chama hicho Buguruni Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad amesema maandalizi yote ya msingi kwa ajili ya mkutano huo yamekamilika. Maalim Seif amesema katika mkutano huo unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 hadi 27 mwezi huu,...
10 years ago
Vijimambo08 Aug
Mbatia Asema Yake Baada Ya Profesa Lipumba Kung’atuka Uenyekiti CUF
![](http://i1.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2015/08/Mbatia.jpg?resize=702%2C336)
Kufuatia uamuzi wa Profesa Ibrahim Lipumba kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), watu mbalimbali wamekuwa na mtazamo tofauti huku wengi wakitaka kujua hatua hiyo imepokelewa vipi na viongozi wa Ukawa.Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia ameelezea jinsi alivyopokea taarifa za hizo akiwa mwenyekiti mwenza wa Ukawa.Akiongea katika mahojiano maalum na waandishi wa habari, Mbatia amesema kuwa uamuzi huo ni wa kawaida kwa kuzingatia mfumo wa vyama vingi nchini na kwamba...
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Safu za uongozi zakamilika
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Safu ya ulinzi ya Simba yapondwa
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6loZ11FeVKk/VjJcfM1Dz5I/AAAAAAAIDZY/67mPAhK2sdg/s72-c/4.jpg)
SAFU MPYA NISHATI NA MADINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-6loZ11FeVKk/VjJcfM1Dz5I/AAAAAAAIDZY/67mPAhK2sdg/s640/4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-WbsLuRrA6NY/VjJcrwGoaxI/AAAAAAAIDZ4/y0Jt48_eFQU/s640/pICHA%2B1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ocu0TrMfq50/VjJcfsTCx4I/AAAAAAAIDZc/Qvnp_3G-yYg/s640/PICHA%2B2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-H4DFfNHXYkc/VMfQ7yg3t4I/AAAAAAACywI/rA74j8583hA/s72-c/3.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WETE-KASKAZINI PEMBA,AWATAKA VIONGOZI WA CUF KUTENDA HAKI KWA WANANCHI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-H4DFfNHXYkc/VMfQ7yg3t4I/AAAAAAACywI/rA74j8583hA/s1600/3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-CS2K4IrK3Qw/VMfQ8TSdcqI/AAAAAAACywQ/c1hqveBpwno/s1600/4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jMrz0ANvGiM/VMfQ-Pwl6pI/AAAAAAACyww/aXwM_QCBEWA/s1600/7.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Safu mpya CHADEMA ilete mageuzi
MACHO na masikio ya wanaoitakia mema nchi hii, wanautegemea uongozi mpya wa Chama cha Demokrasia na Maeneleo (CHADEMA) toka msingi, wilaya, mkoa na taifa, kukomeshe fedha za walalahoi zinazotafunwa na...
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Mourinho aitupia lawama safu ya ulinzi
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho, ametupia lawama safu ya ulinzi ya klabu hiyo baada ya kupokea kichapo cha
mabao 2-1 dhidi ya Porto.
Kocha huyo amesema mpaka sasa hajui ubora wa kikosi chake kwa kuwa kimepoteza michezo mingi ya Ligi Kuu nchini England.
“Kuna tatizo kwa upande wa safu ya ulinzi na ndio maana tunapoteza baadhi ya michezo, hii inatokana na kukosa mawasiliano lakini ninaamini nina mabeki wazuri ambao wana uwezo mkubwa na wala sina wasi wasi.
“Matatizo yanakuja...