Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coastal yakamilisha programu yake Oman

Benchi la ufundi la Coastal Union limekamilisha programu ya mechi nne za kujipima ubavu na sasa linaelekeza nguvu katika mbinu na mazoezi mepesi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Coastal waenda Oman, wabeba ndizi, nyanya

Martha Mboma na Musa Mateja
MSAFARA wa wachezaji na viongozi 30 wa Coastal Union uliondoka jana jijini Dar kwenda nchini Oman kwa ajili ya kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara huku ukiwa umebeba ndizi na nyanya. Coastal iliyomaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kwenye nafasi ya nane baada ya kujikusanyia pointi 16, ilipishana na Yanga ambayo nayo iliondoka jana usiku wa manane kuelekea Uturuki. Msafara huo uliokuwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CUF yakamilisha safu yake

HATIMAYE Chama cha Wananchi (CUF) kimekamilisha mchakato wa kuchagua safu ya uongozi wa kitaifa kwa kuwachagua wajumbe 45 wa Baraza Kuu la Uongozi Taifa, 20 kati yao wakitokea Zanzibar. Wajumbe...

 

10 years ago

Michuzi

Spika Makinda aendelea na ziara yake nchini Oman

Spika wa Bunge Mhe Anne Semamba Makinda akipata maelezo toka kwa Katibu wa Bunge la Oman,Ali Nasser Al Mahrouqi ya namna mfumo wa kisasa wa uendeshaji Bunge ulivyo katika Bunge la Oman. Bunge hilo limeanza mfumo wa kutotoa hotuba/nyaraka kwa makaratasi na sasa wanatoa kwa njia ya mtandao (e-parliament).Wa pili kulia Mhe Sheikh Khalid Hilal All Maawali akifuatiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje Mhe Mussa Zungu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe. Waziri wa...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA SC YA TAIFA SIYO YA TANGA COASTAL WAKAA NYUMBANI NA KUIPISHA YANGA IFANYE YAKE

Na Bertha Lumala,TangaKikosi cha mabingwa mara 24 waTanzania Bara, Yanga SC kimefanya kweli jijini hapa baada ya kuichapa Coastal Union bao 1-0 katika mechi pekee ya leo ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Ushindi huo umeifanya Yanga SCiwang’oekileleni Azam FC ikifikisha pointi 22,moja nyuma ya wanalambalamba ambao hata hivyo, wana mechi moja mkokoni.Katika mechi hiyo ya kiporo ya raundi ya 10 iliyopaswa kuchezwa jijini hapa Januari 10 lakini ikapigwa kalenda na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Ewura yakamilisha kanuni

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imesema kuwa imetayarisha na kukamilisha kanuni ndogo za uendeshaji wa biashara ya mafuta nchini.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na mamlaka hiyo, kanuni hizo ndogo ni za uendeshaji wa biashara ya mafuta ya vilainishi (lubricants).

“Kanuni hizo zipo tangu mwaka 2014 na zilichapishwa kwenye gazeti la serikali namba 64/2014,” inasomeka taarifa hiyo iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Simba yakamilisha kambi Lushoto

TIMU ya Simba inatarajia kurejea Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii, baada ya kumaliza kambi ya wiki mbili wilayani  Lushoto kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kocha Msaidizi wa Simba Seleman Matola alisema jana kuwa timu yao ilikuwa Lushoto kwa kambi ya wiki mbili kwa ajili ya mazoezi ya ukamilifu wa mwili kabla hawajaanza rasmi mazoezi ya uwanjani.

Alisema Kocha wao Mkuu, Dylan Kerr, alitaka timu iweke kambi sehemu ya baridi, kwa kuwa ni rahisi kufanya mazoezi kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco yakamilisha miradi 10 ya Jica

Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco), limekamilisha miradi kadhaa ya umeme kwenye maeneo mbalimbali nchini kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Japan (Jica).

 

11 years ago

Tanzania Daima

BFT yakamilisha leseni za mabondia

SHIRIKISHO la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), limekabidhi leseni za mabondia watakaoshiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Scotland, kwa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC). Akizungumza jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Swala yakamilisha utafiti Pangani

KAMPUNI ya mafuta na gesi ya Swala hapa nchini  imetangaza kukamilika utafiti wa kupata nishati hiyo uliyoanza Agosti 24 mwaka huu bonde la mto Pangani Tanzania uliohusisha kilomita 200 ....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani