Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco yakamilisha miradi 10 ya Jica

Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco), limekamilisha miradi kadhaa ya umeme kwenye maeneo mbalimbali nchini kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Japan (Jica).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI AIPONGEZA JICA KWA UFADHILI WA MIRADI MBALIMBALI YA BARABARA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe (kushoto), akimkabidhi zawadi ya kumbukumbu Mwakilishi Mkuu wa zamani wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) Yasunori Onishi, ofisini kwake jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini.Mwakilishi huyo ameishukuru Wizara ya Ujenzi kwa ushirikiano aliopata katika kipindi chote alichohudumu nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe (kushoto), akimkabidhi zawadi Mwakilishi Mkuu mpya wa...

 

10 years ago

Habarileo

Nimeiachia Tanesco miradi ya kuondoa umasikini-Muhongo

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema pamoja na kujiuzulu, ameiachia Shirika la Umeme (Tanesco), miradi ya kuongeza uzalishaji umeme, ambao ni muhimu katika kuifanya nchi kuwa ya kipato cha kati miaka kumi ijayo.

 

10 years ago

Vijimambo

TANESCO YAZUNGUMZIA MABORESHO YA MIRADI YA MIUNDOMBINU YA EMEME NCHINI

WAZIRI pia Mkuu wa Kazi wa Ubalozi huo katika Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba (kulia) wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa nchini. Mkutno huo ulifanyika Dar es Salaam leo. Pamoja nao ni ni Kaimu Niabu Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi Sophia mgonja.Meneja Mawasiliano wa TANESCO, Leila Mhaji akibadilishana mawazo na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watendaji wa Tanesco wazidi kubanwa watakiwa kukamilisha miradi kabla ya Februari mwakani

PIX 1

Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani (wa kwanza kulia) akitoa maagizo ya kukamilika kwa mradi huo ifikapo february mwakani kwa Mkurugenzi Mwandamizi wa Miradi TANESCO Bw.Gregory Chegere (wa kwanza kushoto) alipofanya ziara yake leo katika mradi wa  Tanzania Energy Development Access Program (TEDAP) eneo la Mbagala Rangi Tatu,jijini Dar es Salaam,Mradi huo utasaidia kusambaza umeme wenye nguvu ya kutosha na unaotarajia kunufaisha zaidi ya wananchi elfu kumi wa eneo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Waliofadhiliwa na JICA kuagwa kesho

WANAFUNZI 30 kutoka serikalini na katika sekta binafsi waliopata ufadhili wa masomo na Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) wataagwa rasmi kesho katika ubalozi wa nchi hiyo jijini Da r...

 

10 years ago

TheCitizen

End red tape, Jica advises Tanzania

>Tanzania’s bureaucratic procedures in the registration of businesses is bad to investors, and more specifically those from Japan, it was said in Dar es Salaam yesterday.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAMKARIBISHA MWAKILISHI MKAZI MPYA WA JICA NCHINI

 Mwakilishi Mkazi Mwandamizi wa JICA nchini aliyemaliza muda wake Bw. Tomonari Shinya (kushoto) na Mwakilishi Mkazi Mwandamizi mpya wa JICA nchini Bw. Takizawa Koichi (kulia) wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya kumuaga  Bw. Tomonari Shinya iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi mapema leo . Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi Mwandamizi mpya wa JICA nchini...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA NA JAPAN (JICA) KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NCHINI TANZANIA

  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile katika majadiliano na Bw. Hiroshi Kato ambaye ni Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA). Katibu Mkuu Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile wa kwanza kulia akiendelea  kufanya majadiliano na ujumbe wa JICA ukiongozwa na Rais wa JICA Bw.  Hiroshi Kato wa pili kulia.
JAPANI YAKUBALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KATIKA KUCHANGIA BAJETI YA MAENDELEO KATIKA...

 

10 years ago

Michuzi

Makamu wa Rais wa JICA amtembelea Waziri wa Ujenzi Ofisi kwake Jijini Dar es Salaam

 Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Japan JICA, Kato Hiroshi  akimueleza jambo Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo Sekta ya Ujenzi wa barabara nchini wakati alipomtembelea Ofisini kwake  jijini Dar es Salaam.

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akifafanua jambo kwa Makamu wa Rais wa JICA Kato Hiroshi.

 Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Gerson Lwenge ( wapili kulia), akimuuliza  swali  Makamu wa Rais wa JICA Kato Hiroshi  (wa kwanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani