Coastal waenda Oman, wabeba ndizi, nyanya
![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOQostzNXAcpGCHRHhUv9NivpIcja9yd5amUt2lvc8DA4vzAvB95oEKY62wd7xJZ-um0PX5MXfY-dawtsMKtCXYL/COASTAL.jpg?width=650)
Martha Mboma na Musa Mateja MSAFARA wa wachezaji na viongozi 30 wa Coastal Union uliondoka jana jijini Dar kwenda nchini Oman kwa ajili ya kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara huku ukiwa umebeba ndizi na nyanya. Coastal iliyomaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kwenye nafasi ya nane baada ya kujikusanyia pointi 16, ilipishana na Yanga ambayo nayo iliondoka jana usiku wa manane kuelekea Uturuki. Msafara huo uliokuwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Coastal yakamilisha programu yake Oman
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKto8*7Wj47iYeFvfzMJCaKHxtPGALyLkvq-y8puV*ezNoXEq3Kq10f53hvzNfBgQigKDfvkdpR7bl09kdux*p88b/shilole.jpg?width=650)
SHILOLE AWACHANA MASTAA WABEBA UNGA
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Casillas, Del Bosque wabeba mzigo
10 years ago
Habarileo02 Jan
Wabeba mimba wakati wa baridi wapewa somo
JUMLA ya watoto 76 wamezaliwa katika mkesha wa Mwaka Mpya katika jiji la Dar es Salaam, huku akinamama wakishauriwa kutobeba mimba katika kipindi cha baridi ili kujifungua wakati wa msongamano mdogo hospitali.
10 years ago
Mwananchi17 Oct
Dida, Jaja, wabeba jukumu zito Yanga
11 years ago
Habarileo07 May
Wabeba mizigo wafanya vurugu kubwa Kibaigwa
WABEBA mizigo wa Soko Kuu la Mazao la Kibaigwa juzi wakiwa na vijana wanaokadiriwa 300 walifanya fujo kwa kufunga barabara kuu ya Dodoma – Morogoro kwa mawe na kuchoma matairi huku wakipiga mawe magari yaliyokuwa yakipita barabarani.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-yTJgUuvZu1o/VSkXdINmVoI/AAAAAAAAHgs/iCFEyfW3Azs/s72-c/11032014_368588460005633_6821834669348042007_n.jpg)
Ngassa, Msuva, Niyonzima wabeba tuzo Yanga SC
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/11150198_368610266670119_6707735268238217996_n.jpg)
KUNDI maarufu la Yanga Facebook Family leo asubuhi katika uwanja wa Karume, Ilala, Dar es salaam limekabidhi tuzo ya mchezaji bora wa klabu hiyo kwa Mrisho Khalfan Ngassa.Ngassa amechaguliwa mchezaji bora kutokana na mchango wake mkubwa alioonesha mwaka huu klabuni hapo.Pia Haruna Niyonzima amepewa tuzo ya mchezaji bora wa kigeni klabuni hapo wakati Simon Msuva amepewa tuzo ya mfungaji bora wa klabu mwaka msimu huu. Credit: ShaffihDauda number one sports blog.
![](http://1.bp.blogspot.com/-yTJgUuvZu1o/VSkXdINmVoI/AAAAAAAAHgs/iCFEyfW3Azs/s640/11032014_368588460005633_6821834669348042007_n.jpg)
Yanga facebook family wakipiga...
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Ubonge ‘nyanya’ wamtesa Boban
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-2vXBfZ0_Gxw/XkTiTpsEpHI/AAAAAAAAuyU/yg1gbk2Hf00JrTxQwj7NEhvoUWdwsPabwCLcBGAsYHQ/s72-c/9260f255-8110-4cef-b281-b0980e9e6b2f.jpg)
NYANYA ZAPANDA BEI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-2vXBfZ0_Gxw/XkTiTpsEpHI/AAAAAAAAuyU/yg1gbk2Hf00JrTxQwj7NEhvoUWdwsPabwCLcBGAsYHQ/s640/9260f255-8110-4cef-b281-b0980e9e6b2f.jpg)
Kwa siku za hivi karibuni zao la nyanya limeshika umaarufu mkubwa midomoni mwa watu kutokana na kupotea kwake sokoni na zinapopatikana basi bei yake imekua juu tofauti na ilivyozoeleka.
Michuzi Blogu imefanya uchunguzi wake katika masoko ya Sabasaba na Majengo ambapo...