Dakika 90 za mpambano wa Magufuli, Lowassa
Dakika 90 za mpira wa miguu ndizo zinazotoa taswira ya matokeo ya ushindi kwa timu ya mpira. Kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeanza. Lakini, licha ya vyama 22 kushiriki uchaguzi huo, macho yanatazama, masikio yanasikiliza na mazungumzo yametekwa na hisia za majina mawili ya wagombea urais Dk John Magufuli (CCM) na Edward Lowassa (Chadema) na ukipenda uite Ukawa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Sep
Mpambano wanoga Dk Magufuli, Lowassa
9 years ago
Mwananchi28 Oct
Mpambano mkali Lowassa, Dk Magufuli
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Lowassa awataka Mbowe, Mbatia kwenye mpambano
9 years ago
Mwananchi14 Nov
Lowassa, Maalim Seif wateta kwa dakika 90
10 years ago
Vijimambo26 May
Dakika tatu na Edward Lowassa>> Urais 2015, kuhama Chama, Elimu TZ.. Afya yake na Ujumbe wake kwa CCM
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/05/lowassa2.jpg?resize=550%2C367)
Moja ya story kubwa kwenye siasa za TZ wiki iliyopita ilikuwa ishu ya CCM kuwafungulia makada wake sita ambao walikiuka kanuni za chama hicho kwa kutangaza kugombea Urais mapema kinyume na utaratibu wa chama hicho, mmoja ya waliokuwa wamefungiwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa.Jana kulikuwa na stori ya Naibu Waziri Mwigulu Nchemba kutangaza kugombea Urais wa TZ kupitia CCM.. leo Mbunge Edward Lowassa ameongea kuhusu mambo kadhaa ikiwemo hali ya afya yake,...
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Dk. Magufuli, Lowassa 50/50
ZIKIWA zimesalia siku 72 kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu, baadhi ya wachambuzi wa masuala ya siasa nchini wanaamini kuwa hadi sasa hakuna mgombea mwenye uhakika wa ushindi wa moja kwa moja.
Wagombea wawili, Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa wa Chadema ndio wanaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Akizungumzia uchaguzi huo, Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Deus Kibamba, aliliambia Raia Tanzania kuwa uchaguzi wa mwaka huu...
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Ni Lowassa au Magufuli?
USHINDANI Mkali katika uchaguzi wa mwaka huu unamfanya mtu atake kujua kama Baba wa Taifa, Mwali
Mwandishi Wetu
9 years ago
TheCitizen07 Sep
Nagu: I know Lowassa and Magufuli
9 years ago
Mtanzania23 Oct
Magufuli, Lowassa wajaa matumaini
>>Magufuli asema yeye ndiye mshindi
>> Lowassa atamba kupata ushindi mnono
NA FREDY AZZAH, HANDENI
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema ana uhakika wa kushinda kwa asilimia 80, na kwamba atakuwa rais wa mabadiliko na si maneno.
Lowassa ambaye anaungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), aliyasema hayo jana katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kigoda CCM, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga.
“Kuna watu wanasema...