Mpambano wanoga Dk Magufuli, Lowassa
Wagombea urais wa CCM na Ukawa jana waliendelea kuchuana vikali kwenye maeneo tofauti, Dk John Magufuli akiahidi kutaifisha ardhi inayoshikiliwa na vigogo bila ya kutumika, na Edward Lowassa akiahidi kuondoa ushuru kwenye zao la tumbaku.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania25 Jun
Mpambano wanoga
WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amesema anatamani ujana ili ateuliwe katika Baraza la Mawaziri la William Ngeleja, ambaye ni mmoja kati ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania.
9 years ago
Mwananchi28 Oct
Mpambano mkali Lowassa, Dk Magufuli
9 years ago
Mwananchi26 Aug
Dakika 90 za mpambano wa Magufuli, Lowassa
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Lowassa awataka Mbowe, Mbatia kwenye mpambano
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Ni Lowassa au Magufuli?
USHINDANI Mkali katika uchaguzi wa mwaka huu unamfanya mtu atake kujua kama Baba wa Taifa, Mwali
Mwandishi Wetu
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Dk. Magufuli, Lowassa 50/50
ZIKIWA zimesalia siku 72 kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu, baadhi ya wachambuzi wa masuala ya siasa nchini wanaamini kuwa hadi sasa hakuna mgombea mwenye uhakika wa ushindi wa moja kwa moja.
Wagombea wawili, Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa wa Chadema ndio wanaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Akizungumzia uchaguzi huo, Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Deus Kibamba, aliliambia Raia Tanzania kuwa uchaguzi wa mwaka huu...
9 years ago
TheCitizen07 Sep
Nagu: I know Lowassa and Magufuli
9 years ago
Mtanzania04 Nov
T.B Joshua awafuata Magufuli, Lowassa
*Atua na msafara wa watu 40
*Afanya nao mazungumzo kwa nyakati tofauti
*Ateta pia na Rais Jakaya Kikwete
*Mugabe, Kagame, Kabila kutua nchini
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
WAKATI maandalizi ya kuapishwa Rais mteule Dk. John Magufuli kesho yakiendelea, taifa limeanza kupokea wageni baada ya muhubiri maarufu duniani wa Kanisa la Church of All Nations la nchini Nigeria, T.B Joshua kuwasili jana mchana akiwa na msafara wa watu 40.
Muhubiri huyo aliyewasili Dar es Salaam jana mchana...
9 years ago
GPLMAGUFULI, LOWASSA WAZUA BALAA!