Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DART yawatoa hofu wanaotaka zabuni

WAKALA wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART Agency) umewataka watu wanaotaka kuomba zabuni za kutoa huduma katika mradi huo kuondoa wasiwasi kwa kuwa zabuni hizo zitatangazwa kwa uwazi. Kaimu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

DART yawatoa wasiwasi wazabuni

WAKALA wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi (DART) amewataka watu wanaotaka kuomba zabuni za kutoa huduma katika mradi huo wa mabasi, kuondoa wasiwasi kwa kuwa zabuni hizo zitatangazwa kwa uwazi. Kaimu Mtendaji Mkuu wa wakala huo, Asteria Mlambo aliwaambia hayo waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoa huduma DART kupatikana kwa zabuni

WATOA huduma wa mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam watapatikana kwa utaratibu wa kushindanishwa baada ya kutangaza zabuni kwa mujibu wa sheria za nchi. Akizungumza na waandishi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TRA yawatoa hofu wafanyabiashara

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewatoa hofu wafanyabiashara kutumia mashine za EFD kwani kodi inayokatwa ni asilimia 30 ya faida baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji na manunuzi. Kauli...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yawatoa hofu wafanyakazi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wafanyakazi wa serikali na umma nchini kote kuondoa hofu ya kukosa ajira endapo chama hicho kitaingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu mwakani. Hayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yawatoa hofu wananchi

SERIKALI imesema kuwa ndege zinazoonekana mpakani mwa Tanzania na Malawi ni maalumu kwa ajili ya kufanya utafiti na vyombo vya udhibiti wa anga vimezipa vibali vya kuwa katika maeneo hayo....

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yawatoa hofu ya dhulma wananchi wanaopakana na miradi ya liganga na Mchuchuma


Njombe

Serikali imewahakikishia manufaa makubwa na kuwaomba subira wananchi wa vijiji vya amani na Mundindi na vile vinavyopakana na miradi mikubwa ya Liganga na Mchuchuma iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe kutokana na wananchi waliokuwa wanamiliki maeneo ya karibu na miradi hiyo kuhamishwa katika maeneo hayo huku wakisubiri fidia kwa muda mrefu mpaka sasa.

Akizungumza na wananchi wa kata ya Mundindi waziri wa madini Doto Mashaka Biteko amesema serikali haiwezi kuwatupa wananchi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

MAANDALIZI: Baridi yawatoa uvivu Simba

>Nyota wa Simba wakiwamo wenye tabia ya uvivu wawapo Dar es Salaam wamekiona cha moto  hapa Lushoto ambako wameshindwa kutegea mazoezi kutokana na hali ya baridi kali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maziwa yawatoa ufukara wafugaji Senegal

Ufugaji wa ngombe wa maziwa nchini Senegal umechangia ustawi wa maisha ya raiya wengi wa mashambani.

 

10 years ago

Mwananchi

TCCIA yawatoa wasiwasi watumiaji wa Bandari Tang

Chama cha Wafanyibiashara, Kilimo na Viwanda (TCCIA), Mkoa wa Tanga kimekanusha uvumi unaodai kuwa kampuni za meli na mawakala wana mpango wa kuisusa Bandari ya Tanga kutokana na mizigo michache inayoingia na kwenda nje.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani