Davido asema thamani yake hajafikia dola milioni 14 japo anatamani
Staa wa Nigeria Davido ni miongoni mwa wasanii wa Afrika wenye mafanikio kimaisha na kimuziki, lakini amekanusha ripoti zinazodai kuwa thamani yake inafikia dola za Kimarekani milioni 14, ambazo ni sawa na zaidi ya shilingi bilioni 30. Kupitia kipindi cha ‘Real Talk’ cha MTV Base, Davido aliulizwa na mtangazaji Stephanie Coker kuhusu thamani yake ambapo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWATATU WAKAMATWA NA DOLA FEKI ZENYE THAMANI YA MILIONI 20
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Fresser Kashai akiwaonyesha waandishi wa habari mkoani hapa Dola Feki za kimarekani. Picha na Elizabeth Kilindi, Tanga.
WATU watatu wanaojishughulisha na biashara ya uuzaji wa noti bandia mkoani Tanga wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakiwa na dola za kimarekani zenye thamani ya 11200 ambazo ni sawa na shilingi milioni 20 za Kitanzania.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Fresser Kashai aliwaambia waandishi wahabari...
11 years ago
Bongo516 Jul
Davido anunua saa ya dhahabu ‘Gold Rolex Sky-Dweller watch’ yenye thamani ya milioni 60
9 years ago
Bongo523 Oct
The CEO: Filamu inayofanyika kwenye nchi zaidi ya tano Afrika, bajeti yake ni dola milioni 1
10 years ago
Bongo502 Sep
Wizkid aizungumzia beef yake na Davido, asema hana beef na mtu (video)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-J4Q91QIejus/Xmd_f1Z48FI/AAAAAAAAIZg/r3hbZfRDPUw9DGYGG6R1B6If3QC1hKF4ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200310_123009_204.jpg)
KALIST ASEMA CCM HAITATUMIA DOLA KUTAKA MADARAKA BALI DOLA KWA NI KUTUMIA KWA KUTUMIKIA WANANCHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-J4Q91QIejus/Xmd_f1Z48FI/AAAAAAAAIZg/r3hbZfRDPUw9DGYGG6R1B6If3QC1hKF4ACLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200310_123009_204.jpg)
Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro akiongea na vyombo vya habari leo leo jijini Arusha
Na Ahmed Mahmoud Arusha
CHAMAcha Mapinduzi,CCM, hakitatumia dola kubakia madarakani bali kitaitumia dola katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na kuboresha huduma za jamii.
Hayo yameelezwa leo jijini Arusha kwenye ukumbi wa Hotel ya Arusha Palace, na aliyekuwa Meya wa Jijiji la Arusha,Kalisti Lazaro,alipokuwa akitolea ufafanuzi kauli ya...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Thamani ya Tanzanite iliyokamatwa KIA yafikia Dola za Marekani mil 1.2
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Omar Chambo (wa kwanza kulia) akiangalia moja ya mashine zinazotumika katika shughuli za uchimbaji madini katika eneo la Mirelani mkoani Manyara wakati alipotembelea eneo hilo mara baada ya kumaliza kikao kikao chake na Kamati za Ulinzi na Usalama za mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara ambazo zimeamua kufanya kazi kwa pamoja ili kudhibiti utoroshaji wa madini ya Tanzanite.
Chambo akitembelea baadhi ya vitalu vya uchimbaji madini ya...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-z9Uu1Xln-jQ/Ve2krjgzCBI/AAAAAAAAKrw/E78KDXqYvvQ/s72-c/mafuriko%2Bhadi%2Bikulu.jpg)
Lowassa asema atapunguza mshahara wa Rais toka milioni 400 kwa mwezi hadi milioni mbili
![](http://4.bp.blogspot.com/-z9Uu1Xln-jQ/Ve2krjgzCBI/AAAAAAAAKrw/E78KDXqYvvQ/s640/mafuriko%2Bhadi%2Bikulu.jpg)
Katika hotuba yake amesema haingii ikulu kutafuta fedha anaenda ikulu kwa kazi moja tu ya kuhakikisha wananchi wanakuwa na maendeleo . Amesema dhamira yake ni kuona taifa linasonga mbele kwa kasi ya ajabu.Amesema atapunguza mshahara wa Rais ambao analipwa hivi sasa dola 192,000 sawa na milioni mia nne kwa mwezi hadi kufikia milioni mbili kwa mwezi amesema kuna faida gani ya mtu kupokea mshahara wote huo ili hali wananchi wako hawana maji , zahanati hakuna dawa, pembejeo za kilimo zipo juu,...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-thcW9dlQuvI/VX3D-_hkKbI/AAAAAAAAIy0/Jo4zjjuzOc0/s72-c/Zimbabwe%2Bvs%2BUS%2524.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uow3g9c8x0o/VCkLgiXHn6I/AAAAAAAGmac/qzDYZxLhZvM/s72-c/Salma-Kikwete.jpg)
MAMA KIKWETE APEWA MASHINE YA KUPIMA SARATANI YA MATITI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA DOLA 200000
![](http://3.bp.blogspot.com/-uow3g9c8x0o/VCkLgiXHn6I/AAAAAAAGmac/qzDYZxLhZvM/s1600/Salma-Kikwete.jpg)
Na Anna Nkinda – Maelezo, Washington.
29/9/2014 Chama cha Wanawake wa Afrika na Uelewa wa Saratani (African Women Cancer Awareness Assossiation - AWCAA) imemkabidhi Mke wa Rais Mama Salma kikwete mashine moja ya Mammogram ambayo inatumika kupima ugonjwa wa saratani ya matiti yenye thamani yazaidi dola za kimarekani laki mbili.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Ubalozi wa Tanzania uliopo mjini Washington D.C nchini Marekani.
Akiongea mara baada ya kukabidhiwa...