DAVINA: KULEA KUMENIKOSESHA DILI
![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d0Zm7KFpQ-nkwS4b-MCRhQNvEnX37dPM57oVSnr1yxk6HJAV-6Dy9779bEoyt0DVm2*4KqUpSwMjSyKj3iJs4WF/davina.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya STAA wa Bongo Movie, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kuwa mwaka 2013 aliutumia zaidi kwa kulea mimba hadi kujifungua hivyo kukosa madili ya kazi za uigizaji. Halima Yahaya ‘Davina’. Akizungumza na paparazi wetu, Davina alisema mwaka huu amejipanga kurejea upya katika sanaa kwani amegundua kuwa mashabiki wake walikuwa wamemmisi hivyo lazima apambane kutetea taito yake katika sanaa....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
10 years ago
Habarileo01 Sep
Jamii yaaswa kulea yatima
JAMII imetakiwa kushirikiana kwa pamoja kulea yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi kutokana na wengi wao kutokuwa na wazazi huku walezi wao wakiwa hawana uwezo wa kuwapatia mahitaji ya msingi.
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Mkibeba mimba mjue kulea watoto
KATIKA makala zangu za huko nyuma kupitia kona hii, niliwahi kuandika kuhusu baadhi ya akinadada ambao licha ya kutambua wazi kuwa sio vigori tena kwa maana wamekwishazaa, lakini bado wanataka...
10 years ago
Habarileo20 Jun
‘Jukumu la kulea yatima ni la kila mtu’
JUKUMU la malezi ya watoto yatima na waishio katika mazingira magumu nchini linapaswa kutekelezwa na kila Mtanzania pamoja na taasisi mbalimbali nchini ili kupunguza wimbi la wananchi tegemezi.
11 years ago
BBCSwahili19 May
Umasikini kikwazo cha kulea watoto China
10 years ago
Habarileo07 Dec
Kituo cha kulea watoto chakatiwa maji
KITUO cha Kulea Watoto Wenye Ulemavu cha Buhanghija Jumuishi katika Manispaa ya Shinyanga mkoani hapa, kimekatiwa maji na Mamlaka ya Majisafi na Mazingira (Shuwasa) baada ya kudaiwa Sh milioni 8 za matumizi ya maji.
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Saba wakamatwa kwa kulea watoto Moshi
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu saba wanaodaiwa kuwa ni wamiliki wa vituo vitatu vilivyogundulika kuhifadhi watoto 147 kwa siri Katika Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Geofrey Kamwela, alitoa taarifa hiyo jana, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema kwamba, watu hao wanashikiliwa kwa kosa la kulea watoto katika mazingira hatarishi na kusababisha wengine wasiendelee na masomo kinyume cha...
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Tuimarishe mafundisho ya dini kulea watoto wetu
11 years ago
Habarileo13 Feb
Washutumiwa kwa kulea wanafunzi wasio na nidhamu
WAMILIKI wa shule na vyuo visivyo vya Serikali, wamelalamikia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kwa kulea wanafunzi wasio na nidhamu mashuleni.