DAVINA NIWAPO CHUMBANI NI MWENDO WA NGUO LAINIII!
![](http://api.ning.com:80/files/j-DiiE-nbb*ifYjAqxOvPByYw4H-TkAUdsUPPFX9RlsquU5K37t39mJifJKRpMFECvLI9*JowKmtbeJmPUa8zrVa-k16cyf5/davina.jpg)
Leo kwenye safu yetu hii tunaye mwanadada kutoka kwenye tasnia ya filamu Bongo anayefahamika kwa jina la Davina lakini jina alilopewa na wazazi wake ni Halima Yahaya. Kama ilivyo ada naye anajibu maswali 10 yahusuyo maisha yake binafsi na kisanii ambayo paparazi wetu Hamida Hassan alimbana na aliyajibu kama ifuatavyo; Mkali katika tasnia ya filamu bongo, Halima Yahaya 'Davina'. Ijumaa: Najua una dada wa kazi, unapokuwa nyumbani...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LAl787uzrCCfK3zrV0j*I6DTX3VQYjeVRgjFvkx8-62CGf6b-hS92eScXQ538lO5y7oDmZwPn2K8GwIb6HMnlMWNF5ZuLN6q/davina.jpg)
FUNDI NGUO AMCHEFUA DAVINA
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm5DilE9VqQujpxq-6-SKK9Qa1bVXFHKZQ0Bg9W9ZQKmoP6A6sALOea0mOS8KaQ*anWmSKIG1mR290mkVoEhn0i-/shilolelle.jpg)
SHILOLE LIVE CHUMBANI
11 years ago
Habarileo24 Jan
Ajinyonga chumbani kwake
MKAZI mmoja wa Ukonga aliyetambulika kwa jina la Justine Tumbeza (43) amekutwa chumbani kwake amejinyonga.
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Mtoto afichwa chumbani miezi 4
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVK8OHKImKEn5ZgbSgVVhSsgiJW1xfrU4eVWUPvnojwVNtYmlyF1hYEFFWR4CUtwzlaOqHxVyjVWR5W6fz4XXtgG/Batuli.jpg)
BATULI AANIKA MAMBO YA CHUMBANI
11 years ago
Habarileo11 Jun
Akutwa amekufa chumbani kwake
MFANYABIASHARA Mkazi wa Kigogo, Kinondoni, Idd Abdalah (31) amekutwa amekufa chumbani kwake huku mwili wake ukiwa hauna jeraha lolote.
10 years ago
Mtanzania21 Apr
Mwanafunzi darasa la nne ajinyonga chumbani
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
MWANAFUNZI wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Pugu jijini Dar es Salaam, Festo Filbert (11) amekutwa chumbani kwake akiwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mkanda wa kuvalia nguo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Mary Nzuki alisema tukio hilo lilitokea jana katika eneo la Majohe kwa Ngozoma.
Alisema sababu za kujinyonga mwanafunzi huyo bado hazijafahamika kwani hakuacha ujumbe wowote.
“Mtoto huyu alikutwa chumbani kwake anakolala akiwa peke...
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Makosa wafanyayo wapenzi wawapo chumbani-2
Heri ya Mwaka Mpya! Mimi na wewe tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kutuvusha salama kutoka mwaka 2015 mpaka leo hii tunapouanza mwaka mwingine wa 2016. Ni wiki nyingine tunapokutana tena katika ukurasa wetu huu mzuri. Wiki iliyopita tulijadiliana kwa kina kuhusu makosa wanayoyafanya wanandoa wengi wawapo vyumbani na wenzi wao.Leo tunaendelea kuanzia pale tulipoishia wiki iliyopita.
2. KUWA BIZE NA SIMU AU TV MUDA WA KULALA
Utandawazi umekuja na mambo mengi, simu zenye intaneti (smartphones)...