DC ashauri Bajaj zitengenezwe nchini
Wafanyabiashara wa Babaj wametakiwa kupiga hatua zaidi kwa kufungua viwanda vya kutengeneza au kuunganisha vyombo hivyo vya usafiri nchini ili kufanya bei zake kuwa nafuu na pia kupanua wigo zaidi wa ajira.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog28 Jun
Balozi Seif ashauri kamati za misikiti nchini
Balozi Seif akizungumza na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Kijiji cha Kiboje Mamboleo mara baada kuufungua msikiti wao wa Ijumaa uliofanyiwa matengenezo makubwa.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).
Mwandishi Wetu Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amezikumbusha Kamati za Misikiti hapa nchini kuendelea kuwa imara kwa kutowaruhusu watu wanaopenda kujipenyeza ndani ya kamati hizo kwa nia ya kuanza kutoa madarasa ya uchochezi na kuwagawa waumini kimadhehebu. Alisema...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-o5wUE3gZvrs/UxGKvpZn5KI/AAAAAAAFQWw/wD3dPWZfG_s/s72-c/M7.jpg)
BAJAJ IKIWA IMEKULA NYOMI
![](http://3.bp.blogspot.com/-o5wUE3gZvrs/UxGKvpZn5KI/AAAAAAAFQWw/wD3dPWZfG_s/s1600/M7.jpg)
11 years ago
Habarileo06 Aug
Madereva wa mabasi, bajaj wasutana
WAMILIKI na madereva wa mabasi ya daladala mkoani Kigoma wamezitaka mamlaka zinazosimamia upangaji njia na vituo vya kushusha abiria kupangia bajaj maeneo yao, maalumu kuondokana na migongano iliyopo sasa.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
SUMATRA yaendesha operesheni kukamata bajaj
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imefanya operesheni ya kukamata bajaj zinazoingia katikakati ya Jiji la Dar es Salaam. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Meneja Leseni...
9 years ago
TheCitizen01 Dec
Bajaj eyes 40pc of Tanzanian market
10 years ago
GPLGLOBAL YAPENDEZESHA BAJAJ JIJINI DAR
11 years ago
GPLDEREVA BAJAJ AGONGA AKIMBIA, WANANCHI WAMKAMATA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuUH5UCRVrbIZ4YitqK6m*j1Fb5zq*XHoV7ZqiPpYrnGBufecCLUIeKHggqGGtDx*PtFVsYlWoq58mEWrAGtOPgI/IMG20140924WA0008.jpg)
MWENDESHA BAJAJ AJERUHIWA KATIKA AJALI TEGETA
10 years ago
TheCitizen18 Dec
Kilimanjaro resident wins bajaj in Serengeti draw