DC ashauri NIDA watumie wahitimu
MKUU wa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Nyirembe Munasa imewashauri watendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuangalia uwezekano wa kuwatumia vijana waliohitimu kidato cha nne angalau kwa ajira za muda, ili kuongeza kasi ya utoaji wa vitambulisho hivyo, kwa kuwa wengi wako `vijiweni’.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 Jan
Ashauri watumie uzoefu wa ASP
AKINAMAMA wa CCM pamoja na jumuiya zake wametakiwa kutumia uzoefu wa wenzao wa Chama cha Afro Shirazi Party (ASP), ambao walipata mafanikio makubwa na kuendesha miradi yao kwa faida.
11 years ago
MichuziNIDA IMEUNDWA KWA MUJIBU WA SHERIA NA MAJUKUMU YA NIDA YAPO WAZI HIVYO NEC WAACHENI NIDA WAFANYE KAZI KAMA WALIVYOPANGIWA :WAZIRI CHIKAWE
10 years ago
Mwananchi08 Mar
Wanawake watumie siku hii kutathmini mafanikio
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-oI-ZhX2Z7Uw/U6RLrLUTR-I/AAAAAAAFr_w/QUCmTGasyrM/s72-c/MMGN8022.jpg)
RAIS MALINZI AWATAKA MAKOCHA WATUMIE UJUZI WAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-oI-ZhX2Z7Uw/U6RLrLUTR-I/AAAAAAAFr_w/QUCmTGasyrM/s1600/MMGN8022.jpg)
Akifunga rasmi mafunzo ya wiki mbili ya makocha wa mpira wa miguu ya Leseni B inayotambuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) jijini Dar es Salaam leo (Juni 20 mwaka huu), Rais Malinzi amewataka makocha hao kuwapa mafunzo ya awali (basic) walimu wa shule za msingi kwa vile TFF ina...
11 years ago
Mwananchi18 Mar
DC ashauri Bajaj zitengenezwe nchini
10 years ago
Habarileo01 Jan
Ashauri namna ya kuboresha kilimo
SERIKALI imeshauriwa kununua mitambo ya kisasa ya kupima aina mbalimbali za udongo, kuondoa kodi katika pembejeo za kilimo na kutafiti kabla masoko ya mazao ya wakulima.
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jul
Ashauri adhabu ya kifo ifutwe
Clarence Chilumba, Mtwara
Serikali imeshauriwa kutafuta njia mbadala kwa watuhumiwa wanaohukumiwa adhabu ya kifo na badala yake wapewe adhabu nyingine ambayo itawapa nafasi ya kuendelea kuzalisha mali.
Ushauri huo umetolewa na Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), Arnold Sungusia, wakati akiwasilisha mada juu ya haki za binadamu kwenye mkutano mkuu wa jukwaa la wahariri.
Alisema ni vyema serikali ikaweka sheria na adhabu mbadala kwa watu wanaohukumiwa adhabu...
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Sumaye ashauri Serikali kushirikisha walimu