Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC Kahama aagiza kuchunguzwa hukumu tata mimba za wanafunzi

MKUU wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya, ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani hapa kuchunguza upya kisha kuwasaka na kuwafungulia upya mashtaka watuhumiwa wote wa kuwapa mimba wanafunzi ambao...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Rais aagiza waathirika Kahama kujengewa

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete ameagiza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuwajengea nyumba 403 mpya waathirika waliobomolewa nyumba zao na mvua kubwa ya mawe na upepo mkali iliyonyesha usiku wa Machi 3, katika vijiji vitatu vya Kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mimba za wanafunzi zamshtua JK

RAIS Jakaya Kikwete ameshtushwa na kiwango kikubwa cha wanafunzi katika Mkoa wa Ruvuma kushindwa kumaliza shule kwa sababu mbalimbali ukiwemo utoro na mimba. Utoro na mimba za wanafunzi ni mambo...

 

9 years ago

Habarileo

Wanafunzi wafundwa kuepuka mimba

WANAFUNZI wa shule za msingi na sekondari wilayani Namtumbo wametakiwa kujiepusha kushiriki katika vitendo vinavyoweza kukatisha ndoto zao kama vile mimba za utotoni na kupata virusi vya Ukimwi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mimba zakwaza ndoto za wanafunzi Newala

MIMBA za umri mdogo ambazo zimekuwa zikiwakatisha wanafunzi masomo Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara bado ni tatizo. Matukio ya mimba hizi kwa wanafunzi mbali ya kuwakatisha masomo yao, zimekuwa zikitishia...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanafunzi wadungwa sindano kuzuia mimba


NA MWANDISHI WETU
WAKATI taifa likihaha kusaka tiba ya mimba za utotoni ili kuwezesha watoto wa kike kupata elimu, baadhi ya wauguzi wilayani Newala, Mtwara, wameibuka na mbinu mpya.
Wauguzi hao wanadaiwa kuwachoma sindano za uzazi wa mpango wanafunzi wa shule za msingi, kinyume cha utaratibu kwa lengo la kuwakinga na mimba zisizotarajiwa.
Hayo yamebainika kupitia taarifa ya Matokeo ya Ripoti ya Utafiti uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA). 
TAMWA iliendesha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mimba zawatoa wanafunzi shuleni Tanzania

Takriban wasichana 808 wamewacha shule katika kipindi cha miaka minane katika jimbo la Rukwa nchini Tanzania kutokana na mimba.

 

5 years ago

Michuzi

NDALICHAKO AAGIZA WANAFUNZI KUPEWA MIKOPO KUFIKIA JUNI 5,2020

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amevitaka vyuo vyote nchini kuhakikisha hadi kufikia ijumaa Juni 5, mwaka huu viwe vimeshawalipa wanafunzi wote fedha zao za kujikimu na ambao hawatafanya hivyo watachukuliwa hatua.
Waziri Ndalichako ameyasema hayo leo Juni 3, 2020  jijini Dar es Salaam wakati akikabidhi magari manne kwa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) ambacho  ni miongoni mwa vyuo vinne vitakavyonufaika na mkopo huo wa Benki ya Dunia kupitia mradi wao wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mimba shuleni zinavyowatesa wanafunzi Mkoa wa Rukwa

Rukwa bado, unakabiliwa na tatizo sugu la ujauzito kwa wanafunzi wa kike, suala linalochangia kuporomoka kwa kiwango cha elimu mkoani humo.

 

9 years ago

Habarileo

‘Madaktari wanaotoa mimba wanafunzi wafukuzwe kazi’

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kufukuzwa kazi kwa madaktari na wahudumu ya sekta ya afya katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma, wanaojihusisha na vitendo vya utoaji mimba kwa wanafunzi na hata watu wazima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani