Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DEREVA WA GUTA APATA AJALI

Wananchi wakishuhudia Askari akipima Ajali eneo la Kagera Jijini Dar es Salaam jana Baada ya Mwendesha Guta kupata ajali jana Mei 9, 2020 iliyohusishwa na Gari lenye Namba za Usajili T 735 DJY.  
 Wasamaria wema katika eneo la Gegera Jijini Dar es Salaam wakisaidia kutoa Miwa chini ya Gari lenye namba za usajili T 735 DJY Baada ya Dereva wa guta kugongwa eneo hilo nakukimbizwa Hospitali.
 Wasamaria wema wakisaidia kutoa Miwa chini ya Gari lenye namba za usajili T 735 DJY Baada ya mwendesha...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

DEREVA BODABODA APATA AJALI

 Askari wa Usalama Barabarani akipima ajali iliyotokea Barabara ya Kilwa eneo la Mivinjeni Dar es Salaam jana iliyohisishwa na Gari lenye Namba za Usajili T 146 ACS kumgonga mwendesha Pikipiki yenye namba za Usajili  MC 919 CKY akitokea upande wa JKT na Dereva wa Gari hilo akijaribu kukatiza marabara eneo hilo la ajali kwa mujibu wa mashuhuda eneo la tukio. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Wasamaria wema wakijaribu kumbeba na kumuingiza katika Gari lenye Namba za Usajili T 146 ACS Dereva...

 

5 years ago

CCM Blog

DEREVA WA BODABODA APATA AJALI

 Wananchi eneo la Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam wakimwangalia Dereva wa Bodaboda aliyepata ajali ambapo chanzo Cha ajali hakikiweza kupatikana mara moja. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

 

9 years ago

Mwananchi

Dereva ajali ya Shelui mbaroni

Jeshi la Polisi mkoani Singida, limemkamata dereva wa basi la Kampuni ya Taqbir kwa kusababisha vifo vya abiria 12 na kujeruhi wengine 18 latika ajali  iliyotokea Kijiji cha Kizonzo, Wilaya ya Iramba mkoani Singida.

 

9 years ago

Mwananchi

Ajali yaua 12 singida, dereva atoweka

Abiria 12 wakiwemo wanaume saba na wanawake watano wamefariki baada ya basi walilopanda la kampuni ya Takibrii kugongana na lori la mafuta katika kijiji cha Kisonzo wilayani Iramba, Singida.Basi hilo lilikuwa linatokea Dar es Salaam kuelekea mji mdogo wa Katoro ulioko mkoani Geita.

 

10 years ago

GPL

DEREVA WA BODABODA ANUSURIKA KUFA KWA AJALI

Baadhi ya watu wakishuhudia ajali ya gari ndogo na mwendesha bodaboda. Pikipiki ikiwa imelazwa pembeni ya barabara.…

 

10 years ago

GPL

AJALI YA LORI YAUA DEREVA SEKENKE, SINGIDA

Wananchi wakishuhudia lori la saruji lililopinduka na kuua dereva wake leo eneo la Milima ya Sekenke mkoani Singida. Pichani juu na chini malori mengine ya mizigo yakipita karibu na eneo la tukio.…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA MIKESE ILIYOUA DEREVA WA LORI LA MAFUTA

Lori la mafuta baada ya kuteketea kwa moto kijiji cha Fulwe, wilayani Mikese mkoani Morogoro. Lori la mafuta na semitrela vikiteketea kwa moto baada ya ajali.…

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA MKATA,DEREVA ANUSURIKA KUFARIKI

Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugongana na Basi la MeridianWasamaria wema wakinasua dereva wa gari ndogo
Dereva wa Gari ndogo akiwa haamini kama ameponaAjali hii imehusisha basi la abiria la Meridiani pamoja na gari ndogo binafsi.Dereva wa gari binafsi amenusurika kifo baada ya gari yake kuharibika vibaya.
Ajali hii imetokea maeneo ya Mkata barabara ya kwenda mikoa ya Kaskazini.

 

11 years ago

Michuzi

Jaji adai fidia ya milioni 300/= kwa ajali ya uzembe wa dereva

Jaji wa Mahakama Kuu, Grace Mwakipesile amefungua kesi ya madai ya kulipwa fidia ya Sh milioni 300 kutokana na majeraha na maumivu aliyoyapata katika ajali aliyoipata mkoani Shinyanga.
Amefungua kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya dereva Kamota Hassan, Michael Mosha na kampuni ya bima ya Zanzibar. Kesi hiyo itatajwa Agosti 4 mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa.
Katika hati ya madai, Jaji Grace anaiomba mahakama iamuru walalamikiwa hao wamlipe fedha hizo kutokana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani