DEREVA BODABODA APATA AJALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-RLxyN9SjlB8/Xoa3gQgQKrI/AAAAAAAAnOY/fKdcvJRORu4lD5Aps-6iXoYjOkMNURupgCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
Askari wa Usalama Barabarani akipima ajali iliyotokea Barabara ya Kilwa eneo la Mivinjeni Dar es Salaam jana iliyohisishwa na Gari lenye Namba za Usajili T 146 ACS kumgonga mwendesha Pikipiki yenye namba za Usajili MC 919 CKY akitokea upande wa JKT na Dereva wa Gari hilo akijaribu kukatiza marabara eneo hilo la ajali kwa mujibu wa mashuhuda eneo la tukio. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Wasamaria wema wakijaribu kumbeba na kumuingiza katika Gari lenye Namba za Usajili T 146 ACS Dereva...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-nbYnF2CtgtY/XrZJiDtxhrI/AAAAAAAAncA/4SAvBDFd_wggHNRbIjoLQXogSVJeva3XwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200509_083331_7.jpg)
DEREVA WA BODABODA APATA AJALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-nbYnF2CtgtY/XrZJiDtxhrI/AAAAAAAAncA/4SAvBDFd_wggHNRbIjoLQXogSVJeva3XwCLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200509_083331_7.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-lT-BdFHeCjk/XrZJsv9xEvI/AAAAAAAAncE/4kNOL-irsqQyLIlSnGWPo8fTjxtnjI-fQCLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200509_083332_2.jpg)
5 years ago
CCM BlogDEREVA WA GUTA APATA AJALI
10 years ago
GPLDEREVA WA BODABODA ANUSURIKA KUFA KWA AJALI
11 years ago
Habarileo12 Aug
Dereva bodaboda atekwa, auawa
MWENDESHA pikipiki maarufu kama bodaboda, Nuru James (19), ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiofahamika wilayani hapa, mkoani Mara.
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Dereva bodaboda auawa kinyama
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Dereva wa bodaboda afa ajalini
DEREVA wa pikipiki, maarufi kama bodaboda, Abdul Mikidadi (33), mkazi wa Kunduchi, Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kumgonga mbwa na kupoteza uelekeo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni,...
11 years ago
GPLPOLISI AKOMAA NA DEREVA BODABODA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/etaPLs1LEXLjBoKvScbBaf-HzPeUkz7dUk5Tc6sf6L9fJtNaSpRJvha3b3rneP6fYWMHyOeHYAAP5pDhtu4BG5ub8f0WjF64/bodaboda.jpg?width=650)
DEREVA BODABODA ANASWA AKISOMA CHAMPIONI
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Dereva bodaboda atuhumiwa kumtorosha mwanafunzi
DEREVA wa pikipiki (bodaboda) Emanuel Kahemela aliyehukumiwa kifungo cha uangalizi kwa mwaka mmoja nje katika kesi ya kubaka kwa kuishi na binti (jina linahifadhiwa) mwanafunzi wa kidato cha pili katika...