Dhihaka ya sala na dua bungeni
SALA au dua ni kitendo kihususho kumuomba Mwenyezi Mungu, kumhimidi, na ni sawa na ibada ndogo bali yenye uzito ule ule kwa Mwenyezi Mungu. Kwa Mwenyezi Mungu wa kweli hakuna...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-h0-Z5-rrir4/U4wz-73kW8I/AAAAAAAFnJU/MfBKjrpha10/s72-c/unnamed+(1).jpg)
Semi- finished houses for SALE at Kunduchi Sala Sala, Dar es salaam
![](http://1.bp.blogspot.com/-h0-Z5-rrir4/U4wz-73kW8I/AAAAAAAFnJU/MfBKjrpha10/s1600/unnamed+(1).jpg)
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Dhihaka ya joho na shahada
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Faini ya Sh10,000 ya ngono ni dhihaka
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Q5SaaVFTvxc/VCtSHrAzGuI/AAAAAAAGm2Y/wSenrOxGZRs/s72-c/download.jpg)
Mwaliko wa SALA YA EID UL ADH-HA Leicester
![](http://1.bp.blogspot.com/-Q5SaaVFTvxc/VCtSHrAzGuI/AAAAAAAGm2Y/wSenrOxGZRs/s1600/download.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar23 Oct
Sauti:Sala ya Pamoja Lumumba,Zanzibar
Salma Said, Taasisi za Kiislamu kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maimamu Zanzibar (JUMAZA) zimefanya sala na dua ya pamoja leo kwa lengo la kumuelekea Mwenyeenzi Mungu ili awavushe salama watanzania wote katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika […]
The post Sauti:Sala ya Pamoja Lumumba,Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Sala ya Idd kitaifa Mnazi Mmoja
WAUMINI wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kuimarisha umoja na mshikamano kwa kusimamia maadili, hususani katika kusherehekea Sikukuu ya Idd el-Fitri inayoadhimishwa kitaifa jijini Dar es Salaam, leo. Akizungumza na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Y0w8zBn69Tk/VDD13mJJPaI/AAAAAAAGn88/oF2BO01VWF8/s72-c/unnamed%2B(34).jpg)
JK ashiriki Sala ya EID El Hajj Upanga Dar es Salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-Y0w8zBn69Tk/VDD13mJJPaI/AAAAAAAGn88/oF2BO01VWF8/s1600/unnamed%2B(34).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GJMoaFaAAOI/VDD1349QGUI/AAAAAAAGn9A/AHI_HI_zCzU/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/---fB-OUjY54/U132_UN2VbI/AAAAAAAFdmQ/acVJMapqiA0/s72-c/Balozi+Kallaghe+na+BTS+-+Trevor+Francis+katikati-pic+by+R+Dilunga+2014.jpg)
SALA KWA WATANZANIA YAFANYWA WESTMINSTER ABBEY, LONDON
Alhamisi jioni, Wazalendo na marafiki zao walishiriki misa maalum ya kuiombea Tanzania ndani ya kanisa mashuhuri la Westminster Abbey kuadhimisha miaka 50 ya muuungano.
Misa hizi hutayarishwa kila mwaka kwa heshima ya nchi za Jumuiya ya Madola. Mgeni rasmi alikuwa Balozi wetu Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe, maofisa ubalozini na wawakilishi wa Jumuiya ya Uingereza na Tanzania (British-Tanzania Society)....
Kwaya ya Chuo cha Lancing, iliimba nyimbo za kizamani za...
10 years ago
Bongo Movies17 May
Picha: Sala Maalum ya Kumuombea Marehemu Adam Kumbiana
Leo umetimia mwaka mmoja tangu aliekuwa staa wa Bongo Movies, Adam Phillips Kumbiana kufariki dunia. Ndugu jamaa na marafiki wakiwemo na baadhi mastaa wa Bongo movies wakiongozwa na mke wa marehemu Kumbiana ametembelea kwenye kaburi la marehemu (makaburi ya Kinondoni) na kufanya sala maalum ya kumuombea marehemu.
Hizi ni baahi ya picha za tukio zima.
Rest in peace Kumbiana.