Dhihaka ya joho na shahada
Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliwahi kukataa kutunukiwa baadhi ya shahada hizo akizisemea kuwa ni sawa na kuvishwa kilemba cha ukoka
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRais Kikwete akabidhiwa Joho na Cheti cha Shahada ya Doctor of Laws
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Dhihaka ya sala na dua bungeni
SALA au dua ni kitendo kihususho kumuomba Mwenyezi Mungu, kumhimidi, na ni sawa na ibada ndogo bali yenye uzito ule ule kwa Mwenyezi Mungu. Kwa Mwenyezi Mungu wa kweli hakuna...
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Faini ya Sh10,000 ya ngono ni dhihaka
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Sitta avaa joho la udikteta
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
FREDY AZZAH NA ESTHER MBUSI, DODOMA
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, ni wazi sasa ameamua kuvaa ‘joho la udikiteta’, baada ya kuitaka Serikali kuvibana zaidi vyombo vya habari.
Sitta ameonekana kuwa mmoja wa watu wanaoweweseka baada ya kuitaka Serikali kudhibiti vyombo vya habari vinavyorusha midahalo mbalimbali ya Katiba.
Bila kutaja jina la chombo husika, Sitta alionekana wazi...
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Polisi wavaa joho la CCM
MKAKATI wa kupambana na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) nje ya Bunge, ambao awali ulikuwa ukifanywa na viongozi na makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nje na ndani ya...
11 years ago
Mwananchi16 Dec
13 kufadhiliwa shahada ya uzamili
10 years ago
Habarileo27 Sep
Dk Shein atuzwa shahada ya heshima
RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein juzi alikabidhiwa rasmi shahada ya heshima ya Chuo cha Wataalamu wa Patholojia cha nchi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika (COPECSA).
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
Bi Mugabe atakiwa kurudisha shahada
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Katibu Simba awe na shahada