Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta avaa joho la udikteta

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

FREDY AZZAH NA ESTHER MBUSI, DODOMA

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, ni wazi sasa ameamua kuvaa ‘joho la udikiteta’, baada ya kuitaka Serikali kuvibana zaidi vyombo vya habari.

Sitta ameonekana kuwa mmoja wa watu wanaoweweseka baada ya kuitaka Serikali kudhibiti vyombo vya habari vinavyorusha midahalo mbalimbali ya Katiba.

Bila kutaja jina la chombo husika, Sitta alionekana wazi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Makamba: Tunahitaji ‘udikteta’

Iko dhana kuwa ili Tanzania ipige hatua kimaendeleo inahitaji kiongozi anayethubutu kufanya uamuzi mgumu hasa kuwawajibisha viongozi wabadhirifu na wazembe, lakini Mbunge wa Bumbuli (CCM), January Makamba amekwenda mbali zaidi; anasema dawa ni kufanya uamuzi wa kidikteta.

 

10 years ago

Mwananchi

Dhihaka ya joho na shahada

Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliwahi kukataa kutunukiwa baadhi ya shahada hizo akizisemea kuwa ni sawa na kuvishwa kilemba cha ukoka

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zanzibar imeamua kurejesha udikteta?

UTAWALA wa kifashisti na udikteta huwa na sura nyingi  na nyingine  huwa za kuvutia ili kuuhadaa umma (watawala huuona umma kama kundi la mabwege). Madikteta huwa hawajali wala hawaheshimu haki...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi wavaa joho la CCM

MKAKATI wa kupambana na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) nje ya Bunge, ambao awali ulikuwa ukifanywa na viongozi na makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nje na ndani ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wambura alia udikteta Simba

ALIYEKUWA mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa klabu ya Simba kabla ya kuchujwa, Michael Richard Wambura, amewakingia kifua wanachama 69 waliosimamishwa na uongozi mpya na kusema kitendo hicho kinajenga misingi...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akabidhiwa Joho na Cheti cha Shahada ya Doctor of Laws

Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandala akimkabidhi Rais Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete cheti cha Shahada ya Heshima ya Doctor of Laws(Honoris Causa) wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi Rais joho na cheti iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na maprofesa waandamizi wa chuo hicho.Tayari Rais Kikwete alishatunukiwa shahada hiyo katika mahafali ya 41 ya UDSM yaliyofanyika Octoba mwaka 2011. Profesa Agnes Mwakaje wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akimvika...

 

10 years ago

GPL

KHAA! MZAZI MWENZIYE SUGU AVAA PEMPASI UKUMBINI

Stori: Imelda Mtema
Kituko! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, aligeuka kituko baada ya kuingia ukumbini akiwa amevalia mavazi wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’. Faiza akiwa na pempasi ukumbini. Tukio hilo lilitokea juzikati katika Hotel ya Sea Cliff iliyopo Masaki jijini Dar, ambako walialikwa...

 

10 years ago

GPL

AIBU ILIYOJE: MKE AVAA KININJA, AMFUATILIA MUMEWE, AMFUMANIA

WAANDISHI WETU, MWANZA Aibu iliyoje! Tukio la aina yake limetokea maeneo ya Diluxe jijini hapa baada ya mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Faudhia almaarufu mama Baraka kumfumania mumewe akisaliti ndoa yao mbichi. Faudhia akihamaki baada ya kufumaniwa. Kwa mujibu wa mama Baraka, amekuwa akimfuatilia mumewe kwa muda mrefu baada ya kutonywa na wambeya kuwa baba mtoto wake huyo amekuwa akichepuka na...

 

10 years ago

Vijimambo

MKE AVAA KININJA, AMFUATILIA MUMEWE, AMFUMANIA LIVE BILA CHENGA

MUME ATAKA KUKATA MSHIKO Mume huyo alipoulizwa juu ya tabia hiyo alikataa katakata kuongea na kuwambia makamanda wa OFM kuwa hayo mambo anaomba yaishie hapohapo kisha kuzama kwenye waleti na kutoa fedha.Hata hivyo, makamanda wetu walizikataa na kuendelea kufanya kazi yao kwa mujibu wa kiapo chao cha kutopokea hongo wala rushwa hivyo waliondoka eneo hilo wakimwacha mama Baraka akipambana na mumewe huku binti akiachiwa aende zake.Mdada akihamaki baada ya kufumaniwa.
Kwa mujibu wa mama Baraka,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani