Polisi wavaa joho la CCM
MKAKATI wa kupambana na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) nje ya Bunge, ambao awali ulikuwa ukifanywa na viongozi na makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nje na ndani ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo28 Jul
Shule kutimua watumia vipodozi, wavaa mlegezo
SHULE ya Sekondari Mwadui iliyopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, imetangaza kufukuza wanafunzi wote wanaotumia vipodozi, wanaovaa sketi fupi, milegezo na wanaotumia simu za mkononi shuleni.
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Dhihaka ya joho na shahada
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Sitta avaa joho la udikteta
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
FREDY AZZAH NA ESTHER MBUSI, DODOMA
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, ni wazi sasa ameamua kuvaa ‘joho la udikiteta’, baada ya kuitaka Serikali kuvibana zaidi vyombo vya habari.
Sitta ameonekana kuwa mmoja wa watu wanaoweweseka baada ya kuitaka Serikali kudhibiti vyombo vya habari vinavyorusha midahalo mbalimbali ya Katiba.
Bila kutaja jina la chombo husika, Sitta alionekana wazi...
10 years ago
MichuziRais Kikwete akabidhiwa Joho na Cheti cha Shahada ya Doctor of Laws
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Polisi akana ukada CCM
ASKARI Polisi, Mwashibanda Shibanda wa Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, anayedaiwa kujihusisha na siasa za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinyume na taratibu za jeshi, amekana tuhuma hizo akisema waulizwe viongozi...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Polisi afanya siasa CCM
ASKARI Polisi, Mwashibanda Shibanda wa Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, anadaiwa kujihusisha na siasa za Chama Cha Mapinduzi (CCM), suala ambalo ni kinyume na taratibu za jeshi. Kwa sasa Mwashibanda...
11 years ago
Mwananchi11 Apr
Polisi walaumiwa kuibeba CCM
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
NEC, Polisi ni mbeleko za CCM
APRILI 6, mwaka huu, kutakuwa na uchaguzi mdogo Jimbo la Chalinze, kuziba nafasi iliyoachwa wazi baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Said Bwanamdogo, kufariki dunia Januari 22, mwaka huu,...
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Polisi watailinda CCM hadi lini?
HAYATI Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, muasisi wa muungano wa Tanzania na Rais wa kwanza wa Tanzania baada ya muungano, katika moja ya hotuba zake alieleza kushangazwa na viongozi waliofuatia baada...