Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond Trust Bank Tanzania yafungua tawi la 21 - Mkoani Mtwara

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Diamond Trust Bank (DTB), Bw. Abdul Samji, akisaidiana kukata utepe na Meya wa Jiji la Mtwara, Mhe. Seleman Mtalika, wakati wakizindua tawi jipya la benki hio jijini Mtwara. DTB kwa sasa ina matawi 21 nchi nzima, na inapanga kufungua matawi mengine manne (4) kwaka 2015, kuongeza nguvu kwa mtandao wake kwa miji ya Mwanza na Dar es Salaam.
========  =======  =======

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Diamond Trust Bank Tanzania Limited (DTBT), Abdul Samji,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NMB Bank yafungua tawi la Bunge mjini dodoma

 Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akikata utepe kufungua Tawi Jipya la NMB Bank tawi la Bunge,tawi hili lime- funguliwa katika viwanja vya Bunge leo Mchana.Kushoto kwake ni Afisa Mtendaji Mku wa NMB,Bw.Mark Wiessing.  Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akifungua pazia la jiwe la msingi kuashiria kufungua Tawi Jipya la NMB Bank tawi la Bunge.Tawi hili lililo funguliwa katika viwanja vya Bunge leo Mchana,anaye piga makofi  ni Afisa Mtendaji Mku wa NMB,Bw.Mark Wiessing.  Jengo la NMB Bunge.

 

9 years ago

Michuzi

FIRST NATIONAL BANK (FNB) YAFUNGUA TAWI MBEZI BEACH JIJINI DAR

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya First National la Mbezi Beach jana jijini Dar es salaam huku akiambatana na Balozi wa Heshima wa Djibouti Said Shamo na Mkuu wa Huduma za Rejareja wa benki hiyo, Francois Botha. Mkuu wa Bidhaa na Huduma za Mitandao, Silvest Arumasi akimpa maelekezo Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda mara baada ya kufungua rasmi tawi la benki ya First National la Mbezi Beach jana jijini Dar es salaam....

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAFUNGUA TAWI JIPYA MKOANI KIGOMA

Benki ya NMB imezindua rasmi tawi lake jipya mjini Kigoma. Uzinduzi wa tawi hilo lililoko katika jengo la Bima barabara ya Lumumba katika jengo la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ulifanyika mwishoni mwa wiki. Aidha, tawi hilo lililo mkabala na Soko Kuu la Kigoma, limelenga kutoa huduma kwa watu binafsi na wakazi wengi wa maeneo hayo hususan wafanya biashara ndogo ndogo.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Bw.Ramadhani Maneno alisema tawi hilo litasaidia...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAFUNGUA RASMI TAWI LA HIMO, MKOANI KILIMANJARO

 Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe.Dkt. Ibrahimu Msengi (kati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Himo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Wa kwanza kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini, Vicky Bishubo akifuatiwa na  Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa na wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Vunjo,Mhe.Augustino Mrema wakishuhudia uzinduzi huo. Hafla ya uzinduzi wa tawi hilo la NMB Himo ulifanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya tawi hilo mkoani...

 

9 years ago

Vijimambo

MKOMBOZI BANK YAZINDUA TAWI JIPYA MOSHI MKOANI KILIMANJARO.

Baadhi ya wananchi wakishuhudia ufunguzi rasmi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi.Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akimwaga maji ya baraka katika jingo la Benki ya Mkombozi tawi la Moshi.
Maeneo tofauti ya Benki hiyo kwa ndani.Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya Mkombozi mjini MoshiBaadhi ya wafanyakzi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi wakiwa katika sare maalumu...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM TANZANIA YAFUNGUA TAWI JIPYA ZANZIBAR

Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania Bw Selemani Ponda (wa pili kulia) akizundua tawi jipya la benki hiyo lililopo eneo la Mwanakwerekwe, Zanzibar wakati wa hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika Zanzibar hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa benki hiyo pamoja na wageni waalikwa.

 

11 years ago

Michuzi

Nakumatt yafungua tawi la kwanza nchini Tanzania leo, yapanga kufungua mengine mawili siku zijazo

KAMPUNI ya Nakumatt Holdings, imezindua rasmi tawi la kwanza kati ya matawi yake matatu makubwa nchini Tanzania ambayo awali yalimilikiwa na Kampuni ya Shoprite ya Afrika ya Kusini. Ikiwa ni mpango wake mpya wa kuboresha zaidi huduma zake, Nakumatt holdings, imezindua tawi hilo kubwa ambalo litakuwa utambulisho muhimu wa huduma zake katika eneo la biashara la Mlimani City litakaloitwa Nakumatt Mlimani. Tawi hilo la 48 la Nakumatt limepambwa kwa rangi na mwonekano wa alama za Nakumatt na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Al_Qaeda yafungua tawi India

Kiongozi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahiri amesema wamefungua tawi jipya India.

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yafungua tawi Tabata

BENKI ya NMB imefungua tawi jipya maeneo ya Tabata, Barabara ya Mandela, Dar es Salaam. Ufunguzi wa tawi hilo la 20 jijini hapa  umekuja ili kuongeza wigo wa matawi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani