Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nakumatt yafungua tawi la kwanza nchini Tanzania leo, yapanga kufungua mengine mawili siku zijazo

KAMPUNI ya Nakumatt Holdings, imezindua rasmi tawi la kwanza kati ya matawi yake matatu makubwa nchini Tanzania ambayo awali yalimilikiwa na Kampuni ya Shoprite ya Afrika ya Kusini. Ikiwa ni mpango wake mpya wa kuboresha zaidi huduma zake, Nakumatt holdings, imezindua tawi hilo kubwa ambalo litakuwa utambulisho muhimu wa huduma zake katika eneo la biashara la Mlimani City litakaloitwa Nakumatt Mlimani. Tawi hilo la 48 la Nakumatt limepambwa kwa rangi na mwonekano wa alama za Nakumatt na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM TANZANIA YAFUNGUA TAWI JIPYA ZANZIBAR

Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania Bw Selemani Ponda (wa pili kulia) akizundua tawi jipya la benki hiyo lililopo eneo la Mwanakwerekwe, Zanzibar wakati wa hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika Zanzibar hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa benki hiyo pamoja na wageni waalikwa.

 

10 years ago

Michuzi

Diamond Trust Bank Tanzania yafungua tawi la 21 - Mkoani Mtwara

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Diamond Trust Bank (DTB), Bw. Abdul Samji, akisaidiana kukata utepe na Meya wa Jiji la Mtwara, Mhe. Seleman Mtalika, wakati wakizindua tawi jipya la benki hio jijini Mtwara. DTB kwa sasa ina matawi 21 nchi nzima, na inapanga kufungua matawi mengine manne (4) kwaka 2015, kuongeza nguvu kwa mtandao wake kwa miji ya Mwanza na Dar es Salaam.
========  =======  =======

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Diamond Trust Bank Tanzania Limited (DTBT), Abdul Samji,...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU ZA FC BONGO NA FC KILIMANJARO ZILITOKA SARE YA MABAO MAWILI MAWILI KATIKA MECHI ILIYOFANYIKA KTK JIJI LA HELSINKI NCHINI FINLAND

Mechi ilianza kwa kasi na dakika 1 tu ya mchezo fc bongo walipata bao lao la kwanza kwa mkwaju wa penalt lililofungwa na mchezaji wao machachari Abass Kunha.
Kilimanjaro ilikuja juu na kufanikiwa kusawazisha kwa kona iliyopigwa na Richard Joseph ambayo ilimshinda nguvu kipa wa fc Bongo baada ya purukushani ndani ya lango hilo.
Kipindi cha pili kilianza kwa nguvu na kwenye dkk ya 80 Abass Kunha aliongeza bao la pili, vijana wa kilimanjaro waliongeza nguvu na baada ya dkk 5 wakafanikiwa kukomboa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Exim yafungua tawi Lumumba

BENKI ya Exim Tanzania imeendelea kutanua wigo kwa wateja wake nchini kwa kufungua tawi jipya mtaa wa Lumumba, jijini Dar es Salaam. Tawi hilo la Ushirika linaongeza idadi ya mtandao...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TPB yafungua tawi Kigoma

BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imezindua tawi jipya mjini Kigoma katika jengo la Mamlaka ya Mapato (TRA). Akizindua tawi hilo mwishoni mwa wiki, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Al_Qaeda yafungua tawi India

Kiongozi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahiri amesema wamefungua tawi jipya India.

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yafungua tawi Tabata

BENKI ya NMB imefungua tawi jipya maeneo ya Tabata, Barabara ya Mandela, Dar es Salaam. Ufunguzi wa tawi hilo la 20 jijini hapa  umekuja ili kuongeza wigo wa matawi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Benki ya Exim yafungua tawi

Benki ya Exim imezindua tawi mkoani Arusha kwa ajili ya huduma kwa wateja wakubwa ndani ya mkoa huo na maeneo ya jirani.

 

10 years ago

GPL

YANGA SC YAFUNGUA TAWI LA WANACHAMA KAHAMA

Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo akizindua tawi jipya la timu hiyo leo. (Picha na Yanga SC) UONGOZI wa Klabu ya Young Africans uliopo na timu mjini Kahama, leo umefungua tawi la wanachama lenye jumla ya wanachama mia tatu (300) na kuhudhuriwa na wapenzi, washabiki na wadau lukuki. Mkuu wa msafara, Mohamed Bhinda alimkaribisha kocha mkuu wa timu hiyo, Marcio Maximo kuzindua tawi hilo mara baada ya mazoezi ya asubuhi akiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani