Dk Magufuli aapa kufa na makandarasi
Waziri wa ujenzi, Dk John Magufuli ametoa onyo kwa makandalasi wabovu wanaojenga barabara chini ya kiwango kuwa kamwe hatakuwa tayari kufukuzwa kazi na Rais Jakaya Kikwete kutokana na uzembe wao, bali ataendelea kuwatimua kama hawatatekeleza kile walichokubaliana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Magufuli awatunishia msuli makandarasi
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli amewaambia makandarasi kwamba serikali itaendelea kusitisha mikataba yao pindi wanaposhindwa kufuata sheria za mikataba ya barabara wanayoingia. Akizungumza wakati wa kusaini mikataba na makandarasi...
10 years ago
Mwananchi03 Mar
Dk Magufuli achekelea makandarasi kuadhibiwa
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Magufuli awanyima likizo makandarasi
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amewataka wahandisi wote nchini kutokwenda likizo kwa ajili ya Sikukuu ya Pasaka hadi miundombinu iliyoharibiwa na mvua itakapokamilika kukarabatiwa. Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Magufuli: Makandarasi wazawa wajaliwe
SERIKALI imewaagiza mameneja wa Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) na wakurugenzi watendaji wa halmashauri za wilaya, manispaa na majiji nchini, kutoa vipaumbele kwa makandarasi wazalendo. Agizo hilo limetolewa wilayani hapa jana...
11 years ago
Dewji Blog13 Jul
Magufuli awapa tano makandarasi wazawa
Waziri wa Ujenzi, Dk.John Pombe Magufuli, akifuatilia kwa makini taarifa iliyokuwa ikitolewa na kaimu meneja TANROADS mkoa wa Singida Mhandisi, Leonard Kapongo kwenye hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa barabara ya Manyoni mjini yenye urefu wa kilometa mbili kwa kiwango cha lami.Wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya Manyoni na anayefuatia ni mkuu wa mkoa wa Singida .Dk.Parseko Kone.
Na Nathaniel Limu, Manyoni
Serikali imewaagiza Mameneja wa TANROADS na Wakurugenzi watendaji wa...
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Magufuli apigia debe makandarasi wazawa
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameutaka uongozi wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) kuhakikisha wanatumia makandarasi wa ndani katika ujenzi wa miradi ya nyumba inayofanywa na wakala huo. Akizungumza...
5 years ago
Michuzi
DIWANI AAPA KUSIMAMA NA MAGUFULI.
NA DENIS MLOWE, IRINGA
DIWANI wa Kata ya Mwangata iliyoko Manispaa ya Iringa,Nguvu Chengula ameapa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha Rais John Pombe Magufuri anashinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa 2020 unaotarajiwa kufanyika Oktoba.
Akizungumza na wanahabari kwenye ukumbi wa Boma, Chengula alisema kuwa atatumia jitihada zote pamoja na Mali anazomiliki kuhakikisha CCM inashinda chini ya Rais Magufuli kwa kutoa magari ya kampeni na vipaza sauti...
10 years ago
Habarileo07 Oct
Magufuli aapa kumuenzi Sokoine
MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema endapo uchaguzi utafanyika leo, atashinda kwa asilimia 80, lakini akasema anachokifanya sasa ni kupita kwa wananchi ili kuongeza idadi ya kura kufikia asilimia zaidi ya 90.
10 years ago
Habarileo17 Jul
Magufuli aapa kulinda Muungano kwa nguvu
MGOMBEA wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema ataulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964 kwa lengo la kuleta mshikamano na maendeleo kwa wananchi wa pande mbili za muungano wa Tanzania.