Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli aapa kumuenzi Sokoine

MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema endapo uchaguzi utafanyika leo, atashinda kwa asilimia 80, lakini akasema anachokifanya sasa ni kupita kwa wananchi ili kuongeza idadi ya kura kufikia asilimia zaidi ya 90.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DIWANI AAPA KUSIMAMA NA MAGUFULI.

DIWANI AAPA KUSIMAMA NA MAGUFULI.
NA DENIS MLOWE, IRINGA
DIWANI wa Kata ya Mwangata iliyoko Manispaa ya Iringa,Nguvu Chengula ameapa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha Rais John Pombe Magufuri anashinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa 2020 unaotarajiwa kufanyika Oktoba.
Akizungumza na wanahabari kwenye ukumbi wa Boma, Chengula alisema kuwa atatumia jitihada zote pamoja na Mali anazomiliki kuhakikisha CCM inashinda chini ya Rais Magufuli kwa kutoa magari ya kampeni na vipaza sauti...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli aapa kufa na makandarasi

Waziri wa ujenzi, Dk John Magufuli ametoa onyo kwa makandalasi wabovu wanaojenga barabara chini ya kiwango kuwa kamwe hatakuwa tayari kufukuzwa kazi na Rais Jakaya Kikwete kutokana na uzembe wao, bali ataendelea kuwatimua kama hawatatekeleza kile walichokubaliana.

 

10 years ago

Habarileo

Magufuli aapa kulinda Muungano kwa nguvu

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan wakiwapungia mamia ya wananchi waliojitokeza kuwapokea walipokwenda kutambulishwa kwenye ofisi ya CCM Zanzibar jana. (Na Mpigapicha Wetu).MGOMBEA wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema ataulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964 kwa lengo la kuleta mshikamano na maendeleo kwa wananchi wa pande mbili za muungano wa Tanzania.

 

9 years ago

Raia Mwema

Shivji: Magufuli kama Sokoine

SIKU 50 tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, kuna mambo aliyafanya kwa vitendo ambayo bila

Issa Shivji

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AZURU KABURI LA SOKOINE

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli akiweka shada kwenye kaburi la Waziri Mkuu wa zamani, Edward Moringe Sokoine, Monduli Juu. Mke wa Sokoine na binti yake (amabaye ni mgombea ubunge wa Jimbo la Monduli kwa tiketi ya CCM, Namelock Sokoine) wakiweka shada kwenye kaburi hilo. Magufuli akicheza ngoma ya kabila la Kimasai. PICHA: RICHARD BUKOS ALIYEKO… ...

 

10 years ago

GPL

SOKOINE AREJEA NCHINI NDANI YA JOHN MAGUFULI

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, marehemu Edward Moringe Sokoine. MGOMBEA wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Joseph Magufuli (pichani) amefananishwa na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kiutendaji, marehemu Edward Moringe Sokoine. Wakizungumza na gazeti hili wananchi mbalimbali walisema ikiwa Dk. Magufuli atachaguliwa kuongoza nchi, atakuwa kama Sokoine aliyekuwa muumini wa kusimamia sheria za nchi na...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AZURU KABULI LA WAZIRI MKUU WA ZAMANI EDWARD SOKOINE

 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiweka shada la Maua kwenye kabuli la Waziri Mkuu wa zamani,Hayati Edward Sokoine Moringe,ambapo pia akiwa na baadhi  ya wajumbe wa kamati ya ushindi ya kampeni ya CCM,walishiriki sala ya pamoja ya kumuombea Marehemu. Mke wa Marehemu Sokoine akisaidiwa kuweka shada la maua
 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli (wa pili kushoto),akiwa ameambatana na baadhi  ya wajumbe wa kamati ya ushindi ya kampeni ya CCM,wakishiriki sala ya pamoja ya kumuombea...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. John Pombe Magufuli aipasuapasua Chadema Arusha, asema “Nitamuenzi Sokoine vita ya ufisadi”

????????????????????????????????????

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha wakati akiwaomba wananchi wa jiji hilo kumpigia kura za ndiyo ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika nchini kote na kushirikisha vyama mbalimbali vya kisiasa.

Amesema Mara atakapochaguliwa na kuongoza taifa la Tanzania serikali yake itamuenzi Wazriri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

BoT kumuenzi Rutihinda

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeandaa mafunzo maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya aliyekuwa gavana wa tatu wa benki hiyo, Gilman Rutihinda. Katika mafunzo hayo yaliyopewa jina la GRML, mada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani