DK MAGUFULI: AJENDA NI MAENDELEO, SI KUSHABIKIA VYAMA
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Magufulii.jpg)
Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli. Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amewataka Watanzania kuweka vyama vyao pembeni, badala yake kuweka mbele ajenda ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni katika jimbo la Buyungu, wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma, Dk Magufuli alisema vyama vya siasa siyo maendeleo ya wananchi, bali wananchi wanahitaji maendeleo zaidi ya vyama vyao....
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo529 Sep
Hemedy PHD: Ningependa wasanii tusaidie kutoa elimu ya upigaji kura kuliko kushabikia vyama
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Ajenda ya usawa wa kijinsia ni ya vyama vya siasa?
DHANA ya usawa wa jinsia inatumika pale ambapo jamii imeweza kuondoa tabaka lililojengeka katika kufikia, kumiliki na kufaidi rasilimali zinazoshikika na zisizoshikika katika jamii husika. Kimantiki usawa wa jinsia ni...
10 years ago
Habarileo09 Aug
Ajenda mpya ya maendeleo duniani Septemba
VIONGOZI kutoka zaidi ya nchi 150 zinazoendelea na zilizoendelea, wanatarajiwa kupitisha ajenda mpya ya maendeleo endelevu baada ya mwaka 2015 ( SDGs).
10 years ago
Habarileo01 Apr
JK: Suala la ajira liwe ajenda ya maendeleo
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuna umuhimu mkubwa wa kuweka suala la ajira katika ajenda ya maendeleo, mipango na programu ya Mataifa yote duniani.
9 years ago
Raia Mwema28 Aug
Dk. Magufuli abeba ajenda ya Dk. Slaa
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.
Waandishi Wetu
9 years ago
Mtanzania01 Sep
Magufuli: Wana CCM msibague vyama
NA BAKARI KIMWANGA, RUVUMA
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka wagombea ubunge na udiwani kupitia chama hicho, kutowabagua watu watakaowachagua kwa itikadi za vyama vyao.
Alisema suala la maendeleo halibagui, hivyo wana wajibu wa kumsikiliza kila mtu badala ya kusukumwa na itikadi za vyama.
Akizungumza katika mikutano yake ya kampeni mkoani Ruvuma jana, Dk. Magufuli alisema uongozi unahitaji uvumilivu na kwamba yeye atakuwa rais wa Watanzania...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Wakodishwa kushabikia michezo
9 years ago
Habarileo23 Oct
Vyama vya siasa, wasomi wamtaka Magufuli
SHIRIKISHO la Vyama vya Siasa nje ya Ukawa Mkoa wa Mbeya na Mtandao wa Wasomi na Wanataaluma vimetangaza rasmi kumuunga mkono Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-2tz9Y7rqBnA/Xl5VyGo9xUI/AAAAAAACz-k/14EmZA8qrnwCs1CDAYrE5iFVNVTgwWYNwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200303-WA0004.jpg)