Dk. Migiro atumiwa kumdhibiti Lowassa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepanga mkakati mpya wa kuengua wataka urais wanaume kwa kuingiza hisia za kijinsia kama walivyofanya kumdhibiti aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa, Samuel Sitta, alipotaka kugombea...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Wilshere akamia kumdhibiti Pirlo
10 years ago
GPLKAMANDA NZOWA ATUMIWA PAKA 3 OFISINI
9 years ago
GPLSIMULIZI YA MPOTO: ATUMIWA PESA NA WAZUNGU KUJIFUNZA KIINGEREZA, AZILA
10 years ago
GPLMTOTO ATUMIWA KUMWIBA MTOTO, AKAMATWA...
10 years ago
Vijimambo12 Aug
Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”
HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...
9 years ago
Habarileo09 Sep
Migiro asisitiza amani
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro, amewataka Watanzania kukataa kugawanywa kwa misingi ya dini na itikadi za vyama vya siasa, badala yake waendelee kulinda amani taifa livuke salama katika uchaguzi mkuu.
10 years ago
Mtanzania17 Mar
Migiro awavaa maaskofu
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro amewajibu maaskofu akisema Serikali haiko tayari kuona wananchi wanafundishwa jinsi ya kupiga kura kuhusu Katiba Inayopendekezwa.
Amesema ni muhimu wananchi waachwe waamue kwa utashi wao wenyewe.
Dk. Migiro amesema Serikali inaunga mkono tamko lililotolewa na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, kuhusu mustakabali wa Katiba na si makundi ya watu na...
11 years ago
Habarileo13 Dec
Dk Migiro aapishwa kuwa Mbunge
MBUNGE aliyeteuliwa na Rais, Dk Asha Rose Migiro ameapishwa rasmi jana bungeni na kusema anafurahi kutumikia umma huku akiahidi utumishi wenye uadilifu, uaminifu na wa kujituma.
10 years ago
Mwananchi02 Jul
Upinzani wambana Dk Migiro, AG bungeni