Dk Slaa kupanda ‘kizimbani’ leo
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibroad Slaa, leo anatarajiwa kupanda kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Hai kutoa ushahidi katika kesi ya jinai inayomkabili kijana aliyejifanya Jaji Mkuu mstaafu Barnabas Samatta.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo511 Nov
‘Niombeeni’ — asema Chidi Benz, kupanda kizimbani leo
10 years ago
Mwananchi08 May
Mashahidi 15 kupanda kizimbani kumbana Minja
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Dk. Slaa apanda kizimbani
Na Mwandishi Wetu, Hai
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, amepanda kizimbani na kutoa ushahidi katika kesi utapeli dhidi ya mtu aliyetumia jina la Jaji Mkuu Mstaafu, Barnabas Samatta.
Katika kesi hiyo namba 117, Dk. Slaa ni shahidi wa nane na alisema kuwa mke wake, Josephine Mushumbuzi, ndiye aliyemsaidia kumgundua mtu aliyejaribu kumtapeli kwa kutumia jina la Jaji Samatta.
Alikuwa akituoa ushahidi jana katika Mahakama ya Hakimu Mfawidhi wa Wilaya...
10 years ago
Habarileo21 Oct
Mdee, wenzake kizimbani leo
MBUNGE wa Jimbo la Kawe (Chadema), Halima Mdee (35) na wenzake wanane wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi wanatarajia kusomewa maelezo ya awali leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
11 years ago
Mwananchi26 May
Bibi wa ‘unga’ kupandishwa kizimbani leo
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Watuhumiwa ugaidi Arusha kizimbani leo
WATUHUMIWA 19 waliokamatwa na Jeshi la Polisi jijini Arusha wakihusishwa na matukio mbalimbali yanayoashiria ugaidi, ikiwemo milipuko ya mabomu na umwagiaji tindikali, wanatarajiwa kupanda kizimbani leo katika Mahakama ya Hakimu...
10 years ago
Habarileo10 Feb
Mtuhumiwa sakata la Escrow kizimbani leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo inatarajia kumsomea maelezo ya awali Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni 323.4 ambazo ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
10 years ago
MichuziPROF. LIPUMBA APANDISHWA KIZIMBANI LEO