Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashahidi 15 kupanda kizimbani kumbana Minja

Dodoma. Serikali imeandaa zaidi ya mashahidi 15 kwa ajili ya kutoa ushahidi kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania, Johnson Minja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mashahidi wazidi kumbana Ekelege

 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wakurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Profesa Apolonaria Tereke ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuwa aliyekukwa Mkurugenzi wa shirika hilo, Charles Ekelege alikuwa akitoa misamaha ya tozo bila ridhaa ya bodi ya wakurugenzi wa shirika hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Slaa kupanda ‘kizimbani’ leo

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibroad Slaa, leo anatarajiwa kupanda kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Hai kutoa ushahidi katika kesi ya jinai inayomkabili kijana aliyejifanya Jaji Mkuu mstaafu Barnabas Samatta.

 

10 years ago

Bongo5

‘Niombeeni’ — asema Chidi Benz, kupanda kizimbani leo

Rapper Rashid Makwiro aka Chid Benz anapanda kizimbani Jumanne hii, November 11 kwenye mahakama ya hakimu mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam. Rapper huyo ambaye yupo nje kwa dhamana kufuatia kukamatwa na madawa ya kulevya hivi karibuni, amewaomba mashabiki wamwombee. “Kesho napanda mahakamani asubuhi pale kwa hakimu mkazi kissutu..niombeeni kheri koz najua wapo wanaonihitaji bado.#vitu […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

DPP azidi kumbana Ponda

UPANDE wa Jamhuri umeiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitupe ombi la Mwenyekiti wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda la kuitaka itoe amri ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Kinana aagiza wananchi kumbana mwenyekiti wao

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameuagiza uongozi na wananchi wa wilayani hapa mkoani Manyara kumbana Mwenyekiti wa Chadema wa wilaya, Augustino Mayomba anayedaiwa kumiliki hati ya mkataba wa mnara wa simu wa Vodacom uliopo Kijiji cha Bassotu.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Slaa azidi kumbana Kikwete achukue hatua dhidi ya Prof Muhongo

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa amesema Rais Jakaya Kikwete asitumie kivuli cha mapumziko ya sikukuu kuchukua uamuzi dhidi ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo anayehusika katika kashfa ya fedha za Akaunti ya Tegeta Escrow ya Sh306 bilioni.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya Minja leo, makufuli yaendelea

MADUKA mengi ya Kariakoo, Dar es Salaam na baadhi yaliyopo mikoani yameendelewa kufungwa huku wenye maduka wakidai hawatafungua leo wala kesho.

 

10 years ago

Mwananchi

Minja: Fungueni biashara, niko huru

Wafanyabiashara katika maeneo mbalimbali nchini yaliyokuwa kwenye mgomo, wamesitisha mgomo huo ikiwa ni siku moja baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja kuachiwa kwa dhamana mkoani Dodoma jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani