Dorefa yabadili ratiba
Kamati ya mashindano ya Chama cha Soka mkoa wa Dodoma (Dorefa) imeamua kusogeza mbele ligi ya mkoa hadi Januari 11mwakani kutokana na idadi ndogo ya timu zilizorudisha fomu.Katibu wa Dorefa
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-P7uz6yOIw_g/Vai8lViOQ2I/AAAAAAABSAg/Eq0NoShawPE/s72-c/MABADILIKO%2BYA%2BLIGI.jpg)
10 years ago
Mtanzania28 Mar
ACT yabadili Katiba
Patricia Kimelemeta na Aziza Masoud, Dar es Salaam
CHAMA Cha Alliance For Transparency (ACT) jana kilibadilisha baadhi ya vifungu vya Katiba yake kwa kutambua uwepo wa nafasi ya juu kabisa ya kiongozi wa chama na kuongeza kifungu kipya cha mwanachama kutimiza siku saba ili aweze kugombea uongozi.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kamati Kuu na baadaye Halmashauri Kuu inayofanyika kwa siku moja moja wa chama hicho uliofanyika jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa chama hicho,...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Amref yabadili jina, nembo
SHIRIKA la kimataifa lisilokuwa la kiserikali la Afrika Medical and Research Foundation (Amref) limezindua rasmi jina na nembo yake mpya ambapo sasa litajulikana kama Amref Health Africa Tanzania. Uzinduzi huo...
10 years ago
Vijimambo17 Oct
Yanga yabadili refa mechi vs Simba
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/TFF-October16-2014.jpg)
Hata hivyo, mabadiliko hayo yaliyofanywa na kamati hiyo yalichelewa kufika katika sekretarieti ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), ambayo juzi ilimtangaza Chacha na...
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Uingereza yabadili taratibu za kutoa viza
11 years ago
Tanzania Daima25 May
TBF yabadili mfumo Kombe la Muungano
SHIRIKISHO la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), limesema mashindano ya Kombe la Muungano kwa mwaka huu yatafanyika kwa mfumo wa ligi itakayokuwa na timu 16. Mashindano hayo yaliyopangwa kuanza Juni...
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Google yabadili mwonekano wa Nembo yake
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
Australia yabadili kauli kuhusu Burka
11 years ago
Mwananchi19 Jul
NBAA yabadili mitalaa kozi za uhasibu