DRC:Watu 23 wadaiwa kuuawa na waasi wa UG
Maafisa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanasema kuwa watu ishirini na watatu wameuawa kikatili na wanaodaiwa kuwa waasi wa Uganda.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Oct
Waasi wa ADF wadaiwa kuwaua watu 20 DRC
watu wanaokisiwa kuwa wanachama wa kundi la waasi kutoka Uganda wamefanya mashambulizi nchini DRC na kuwaua watu 20
10 years ago
BBCSwahili19 Aug
Wadaiwa kuuawa katika shambulio Ukraine
Wakimbizi katika mji wa Luhansk wamesemekana kuuawa wote katika shambulio la Jumatatu usiku nchini Ukraine
10 years ago
BBCSwahili19 Apr
Ukraine:Waasi wadaiwa kukiuka mkataba
Serikali ya Ukraine inasema kuwa waasi wanaungwa mkono na Urusi wamekiuka pakubwa muafaka wa amani mara 20 zaidi.
11 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wanajeshi wa UN wapambana na waasi DRC
Wanajeshi wa UN wameanza kupambana na waasi wa Kihutu kutoka Rwanda pamoja na makundi mengine ya waasi Mashariki mwa DRC
10 years ago
BBCSwahili05 Jan
Majeshi ya DRC yapambana na waasi
Vikosi vya Jeshi la jamhuri ya kidemokrasia ya kongo vinaudhibiti mji wa Abya ulioko kaskazini mashariki mwa mji wa Beni .
10 years ago
BBCSwahili16 Oct
Waasi wa ADF washambulia DRC
Jeshi la DRC linasema kuwa watu 26 wameuawa nchini humo katika shambulizi liliofanywa mjini Beni na waasi wa ADF.
10 years ago
BBCSwahili03 Jan
Jeshi la DRC kuwakabili waasi wa FDLR
Serikali ya DRC inasema kuwa iko tayari kundesha oparesheni ya kijeshi dhidi ya waasi wa kihutu mashariki mwa nchi hiyo.
10 years ago
BBCSwahili16 Mar
Jeshi la DRC lawakamata waasi 182
Harakati za kuifurusha kundi la wapiganaji wa FDLR imeshika kasi majeshi ya DRC ikidaiimewashika wapigani 182 na silaha zao
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Jeshi la DRC kuwakabili waasi wa kihutu
Mkuu wa jeshi katika jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, ametangaza operesheni kali dhidi wapiganaji wa kihutu DFLR
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania