Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DUA YAMUOKOA ASIUAWE

Dustan Shekidele, Morogoro.
SWADAKTA! Katika hali ya kustaajabisha, kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Ramadhan, ambaye mwishoni mwa wiki amejikuta akishushiwa kipigo kwa kudhaniwa kuwa kibaka, alisalimika baada ya kuanza kusali kwa kuwashtakia kwa Mwenyezi Mungu waliokuwa wakimpiga, akisema hakuwa na hatia na ghafla watu hao kusitisha kipigo. Kijana Ramadhan akishusha dua zito baada ya kushushiwa kipigo kikali. Ramadhan...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Mahakama yamuokoa Warioba

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imezuia Wakala wa Serikali wa Majengo (TBA) kumhamisha kwa nguvu Waziri

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Vijimambo

Polisi auawa akiokoa mtoto asiuawe na baba yake mzazi

Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime.
Askari Polisi PC Joseph Swai, ameuawa wakati akimwokoa mtoto wa miezi minane, aliyekuwa akiteswa na baba yake mzazi katika mtaa wa Chang'ombe Juu mjini hapa.

Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime, alisema tukio hilo lilitokea jana saa 5:00 asubuhi na kumtaja mtoto aliyekuwa anateswa kuwa ni Valerian Mallya.

Alisema awali, polisi huyo alipigiwa simu na Mtendaji wa mtaa wa Chang'ombe Juu, akimjulisha kuwa amepokea taarifa kutoka kwa Oliva...

 

11 years ago

GPL

MTOTO MWAKA MMOJA ATELEKEZWA, OFM YAMUOKOA

Stori: WAADISHI WETU VITUKO uswahilini! Mtoto wa mwenye umri umri wa mwaka mmoja ambaye jina halikufahamika ameokolewa na Oparesheni Fichua Maovu ya Global Publishers baada ya kudaiwa kutelekezwa kwa siku nzima na mama yake mzazi, Mama Sofia. Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja aliyetelekezwa na mama yake. Tukio hilo la aina yake lilijiri Juni wikiendi iliyopita maeneo ya Somanga-Magomeni, Dar ambapo kwa mujibu wa wasamaria wema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaombewa dua

Rais wa TFF Jamal Malinzi ameitakia kila la kheri timu ya Yanga katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.

 

9 years ago

Bongo Movies

Wema Aangusha Dua

WEMA Sepetu ‘Madam’ ameangusha dua ya nguvu nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar ikiwa ni maalum kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa ushindi wa rais mteule wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

Dua hiyo ilifanyika juzi na kuhudhuriwa na wasanii mbalimbali walioshiriki kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo baada ya kumalizika kwa dua hiyo pamoja na kula chakula, Madam alisimama na kuzungumza:

“Wasanii wenzangu wakumbuke kusoma dua kila...

 

10 years ago

GPL

JOKATE AANGUSHIWA DUA NA WATOTO!

Imelda Mtema Dua! Mwamitindo na mtangazaji ‘the big name’ Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, ametembelea kituo cha watoto yatima kilichopo maeneo ya Ubungo jijini Dar kisha kuangushiwa dua ya nguvu na watoto wa madrasa. Wikiendi iliyopita Jokate alifika kituoni hapo kutoa misaada mbalimbali huku akiwa amejitanda kichwa chake ambapo alijumuika na watoto hao naye akakaa kwenye mkeka ndipo akazungukwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dua Saidi mbaroni Dar 

NYOTA wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Dua Said, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni kwa tuhuma za kuunganisha huduma ya maji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dua ya kuliombea Bunge ni kiinimacho!

“USHIKWAPO shikamana” ni methali yenye maana kuwa ushikwapo na mtu shikamana au jitahidi. Methali hii yaweza kutumiwa kwa mtu aliyepatwa na tatizo kisha akapata mtu wa kumsaidia. Yamhimiza ajitahidi. Wengine husema...

 

10 years ago

GPL

TEVEZ WA MASHAUZI AFANYA DUA

DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO MUME wa ‘long time’ wa mwimbaji nyota wa kike wa muziki wa Taarab nchini, lsha Ramadhan ‘Mashauzi’, Jumanne Hassan ‘Tevez’ ambaye hivi karibuni alitekwa na kuteswa na watu wasiofahamika nchini Afrika Kusini, amerejea nchini na kufanya dua ya kumshukuru Mungu kwa kumnusuru kifo katika tukio hilo. Jumanne Hassan ‘Tevez’ akiweka ubani wakati wa dua hiyo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani