Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DUKA LA PALACE MOBILE LILILOPO POSTA, DAR LAVAMIWA NA MAJAMBAZI

Duka la simu na vifaa vya kielectronic la Palace Mobile lililopo mitaa ya Posta jijini Dar es Salaam limevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia leo. Majambazi hao wamefanikiwa kupora simu, fedha na vitu kadhaa vya kelectronic ambavyo thamani yake bado haijafahamika mpaka sasa.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mh. Catherine Magige azindua duka jipya la urembo la ZuRii lililopo Dar Free Market

DSC_0312

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige (kushoto) akiwasili kuzindua rasmi duka la urembo la ZuRii House of Beauty linalomilikiwa na mwana Diaspora ambaye pia ni mwanalibeneke Jestina George Meru (kulia) ndani ya jengo la Dar Free Market jijini Dar es Salaam jana.

Na Mwandishi  Wetu

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige leo amezindua rasmi  rasmi duka  jipya la vipodozi na vitu mbalimbali linalofahamika kwa jina la ZuRii lililopo katika jengo la...

 

9 years ago

Dewji Blog

Posta waadhimisha Siku ya Posta Duniani jijini Dar es Salaam

Wafanyakazi na wadau wa Shirika la Posta nchini (TPC), wa ndani na nje ya nchi wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani kwenye jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam jana. Maadhimisho hayo, huadhimishwa duniani kote Oktoba 9. (Picha zote na Kassim Mbarouk- www.bayana.blogspot.com)

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi (kulia), akiteta jambo na mmoja wa Maofisa wa shirika hilo, wakati...

 

9 years ago

Habarileo

Majambazi wavamia duka la M-Pesa na kupora fedha

VIJANA wawili wakiwa na silaha wamevamia duka la M-Pesa mjini Tabora na kumteka mhudumu wa duka hilo kabla ya kumwamuru atoe fedha zote alizokuwa nazo pamoja na simu anazotumia.

 

10 years ago

Vijimambo

MOTO MKUBWA UMEZUKA KWENYE JENGO LILILOPO MTAA WA JAMHURI NA MOSQUE JIJINI DAR

Moto uliozuka mapema leo katika nyumba moja iliyopo kati ya mtaa wa Jamhuri na Mosque jijini Dar es Salaam na kuteketeza mali kadhaa ambazo bado haijaulikana thamani yake na kutokana na mashuhuda waliokuwepo wakati moto huo ukianza kuwaka wanafikiri moto huo huenda umesababishwa na hitilafu ya umeme lakini msemaji kutoka kikosi cha zima moto amesema chanzo kamili cha moto huo bado hakijajulikana.Wasamalia wakiliondosha gari lililokua karibu na jengo hilo.Kikosi cha zimamoto na Jeshi la...

 

10 years ago

Michuzi

DUKA LA ZURII HOUSE OF BEAUTY LAFUNGULIWA RASMI NDANI YA DAR FREE MARKET JIJINI DAR

 Mgeni rasmi Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige  akikata utepe katika ufunguzi wa ZuRii House of Beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi lililofunguliwa rasmi Jumatatu 12 Jan 2015 . kulia ni Mkurugenzi wa ZuRii Fashion & Beauty Boutique, Jestina George. 
   Mkurugenzi wa ZuRii Fashion & Beauty Boutique, Jestina George  akitoa ufafanuzi kwa Mgeni rasmi Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige kuhusu bidhaa zilizopo kwenye duka la ZuRii...

 

5 years ago

Michuzi

OPESHENI YA DUKA KWA DUKA YAANZA PWANI KUBAINI WAFICHA NA KUUZA SUKARI BEI JUU-WANKYO

NA MWAMVUA MWINYI PWANI .
JESHI la polisi mkoani Pwani limetangaza msako wa duka kwa duka ,kuwabaini wafanyabiashara ambao wameficha sukari na kuuza kwa bei isiyo elekezi ya sh .2,700 kwa kilo moja ,ambapo ni kinyume cha sheria . 
Kutokana na msako huo ulioanza mkoani hapo ,jeshi hilo ,limeshakamata jumla ya kilo 1,037 za sukari pamoja na watuhumiwa saba wanaodaiwa ni wafanyabiashara walioficha sukari hiyo. 
Akizungumzia tukio hilo ,kamanda wa polisi mkoani hapo ,Wankyo Nyigesa alieleza kuwa...

 

10 years ago

GPL

UPEPO MKALI ENEO LA POSTA DAR

KAMERA ya GPL imeshuhudia   uzio wa mabati uliozungushiwa katika kiwanja kimoja kilichopo Posta barabara ya Samora ukianguka baada ya upepo mkali kuvuma. Uzio huo haukuleta madhara yoyote kwa wapita njia na wale waliokuwa jirani na eneo hilo. Na Gabriel…

 

11 years ago

Mwananchi

Airtel yazindua Duka la kisasa Dar

Kampuni ya Airtel imekarabati duka lake lililopo Mlimani City na tayari imelizindua likiwa na mwonekano wa kisasa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Uzinduzi wa duka kubwa la vitabu wafanyika Dar

3

Word Bank Country Director, Philippe Doncier na Mkurugenzi Mtendaji wa  Duka la Vitabu la MAK, Kirubakaran Ramakrishnan wakikata utepe wakati wa uzinduzi wa Duka kubwa la vitabu katika eneo la Mliman city jijini Dar es Salaam jana.

2

Mkurugenzi Mtendaji wa  Duka la Vitabu la MAK, Kirubakaran Ramakrishnan, akizungumza na wateja mara baada ya uzinduzi wa duka hilo la vitabu vya shule ya msingi hadi elimu ya juu  lililopo Mlimani city jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani