DUME LASUTWA KISA, UMBEYA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya WERAA! Watu weweee! Dume lililofahamika kwa jina moja la Lusajo au Sajo anayefanya kazi maeneo ya Kijitonyama, Dar jirani na duka la mtangazaji Maimartha Jesse ‘Mai’ amejikuta akitaharuki na kuaibika baada ya kusutwa laivu katikati ya wanawake huku akilishwa keki na kufunguliwa mvinyo kisa umbeya, Ijumaa Wikienda limeshuhudia tukio zima. Keki ya msuto aliyoandaliwa Bw. Sajo. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mzalendo Zanzibar19 Sep
Huu ni mwaka dume!
Na Rashid Abdallah Ndio! Ni kweli! Halinashaka kabisa! Kuwa CCM na raisi Jakaya na watangulizi wake wameshindwa kabisa kuikwamua Tanzania. Kama ni jahazi basi tungesema jahazi la CCM limelala upande mmoja na wala si ajabu kuwa […]
The post Huu ni mwaka dume! appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
GPL
Simba dume lao
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Nilikuwa na saratani ya tezi dume-JK
10 years ago
GPL
JIKE DUME LAZUA KIZAAZAA
10 years ago
Vijimambo11 Aug
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME?

NIJumanne tena, wapenzi wasomaji wangu tunakutana tena katika safu hii ya mapenzi na maisha. Ni safu inayokusudia kutoa elimu kwa wanandoa, wapenzi, wachumba na wengine wanaotarajia kuingia katika meli hiyo ya maisha ya mapenzi.
Mada ya leo inaweza kuwa ngumu kidogo kutokana na ukweli kwamba, inazungumzia misimamo ya taasisi za kutetea haki mbalimbali kujenga hoja ya kuwaambia wanaume wasiwe na mfumo dume.Lakini pia, mada hii itachota baadhi ya vipengele kutoka kwenye vitabu vya dini ili...
10 years ago
GPL
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME-2
10 years ago
GPL
MFUMO DUME NI HAKI YA MWANAUME?
10 years ago
Michuzi
mwandani wa saratani ya tezi dume

10 years ago
Vijimambo10 Nov
simba SC dume, ukawa kimyaa
Mshambuliaji waSimba,raia wa Uganda Emmanuel Okwi.
Na Ibrahim Mussa
BAADA ya matokeo ya sare sita mfululizo, hatimaye Simba imepata ushindi wake wa kwanza katika mechi ya saba kwa kuifunga Ruvu Shooting bao 1-0 katika Ligi Kuu Bara, jana, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Ushindi huo uliwazima kabisa mashabiki wa kundi maarufu la wanachama waliosimamishwa uanachama la Simba Ukawa ambao wamekuwa wakidai Simba itatoa sare saba mfululizo na mambo yatakuwa mabaya zaidi kama...