Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DW YAWAAGA WATANGAZAJI ANUARY MKAMA NA AMIDA ISSA

Anuary Mkama kutoka Radio Mlimani nchini Tanzania na mwenzake Amida Issa kutoka Burundi waagwa rasmi DW mjini Bonn baada ya kumaliza mafunzo utangazaji kwa vitendo yaliyodumu katika kipindi cha miezi sita. Wote wawili sasa wanajiandaa kurejea katika mataifa yao kwenda kutuma ujuzi waliouvuna kutoka DW Bonn. Wafanyakazi wa DW baada ya hafla fupi ya kuwaaga watangazaji Anuary Mkama kutoka Tanzania na Amida Issa kutoka Burundi. Anuary Mkama akikabidhiwa cheti chake na Naibu Mkuu wa Idhaa ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZAIDI ZA MAHAFALI YA MRS. MATRIDA MKAMA

Matrida Mkama mara tu baada ya kukamata nondo yake . Dr, Sweetbert Mkama naye hakua nyuma kumpa ushirikiano wa hali na mali mama watoto wake.Dr sweetbert Mkama akiwa na Matrida Mkama pamoja na mwambata wa jeshi wa ubalozi wa Tanzania Col. Adolph Mutta.
Saa matata aliyopewa zawadi Dr Sweetbert Mkama kutoka kwa mama mwenye Nyumba wake kama ishara ya shukrani zake kwa ushirikiano alioupata kutoka kwa baba mwenye nyumba wake.




 
 
 
 

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAWAAGA WASTAAFU WAKE

 Wastaafu wakiwa na wenza wao wakati wa kuaagwa baada ya kukamilisha umri wa kustaafu kazi. Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akimkabidhi zawadi aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Tume Bi. Regina Gatama wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu. Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akiwaonesha wastaafu zawadi zao walizokabidhiwa. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

introducing kazi za msanii ashery mkama wa dar es salaam

Msanii Ashery Mkama wa Dar es salaam amefika ofisi za Globu ya Jamii na kutambulisha kazi zake zilizokamilika za  sanamu za wanyama mbalimbali alizotengeneza kwa kutumia karatasi . Anasema yeye ana uwezo wa kutengeneza sanamu ya mnyama yeyote ama kitu chochote kile. Ukihitaji huduma zake mwandikie kwa kutumia email ya asherymkama@gmail.com

 

10 years ago

Vijimambo

HONGERA SANA MAMA MATRIDA MKAMA KWA KUJINYAKULIA NONDO

 Hongera sana Mrs Matrida Mkama kwa kujinyakulia nondo hatari sana kwa pamoja tunakupongeza hureeeeeyyyy.
 Keki iliyoandaliwa kwa ubunifu wa hali ya juu kuendana na tukio husika.
 Mrs Matrida mkama akiwa na furaha na kuwashukuru wale wote waliojumuika nae na kufanikisha siku yake maalum.
 Dr Sweetbert Mkama akimpongeza mama mwenye nyumba wake kwani mafanikio yake ni mafanikio yetu sote.
 Edward Taji pamoja na Mariam Mkama waliweza kufika na kujumuika na mama Matrida Mkama.
 Wageni mbalimbali...

 

10 years ago

Mwananchi

MKAMA: Serikali ijenge mazingira kwa wazawa kumiliki DART

>Wakati utawala wa kibaguzi wa Afrika Kusini ulipofikia ukomo na mwaka 1994, uongozi mpya wa Chama cha ANC chini ya  Mzee Nelson Mandela, ulikumbana na changamoto kubwa ya kuwawezesha kiuchumi Waafrika walio wengi.

 

10 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAWAAGA WATAALAMU 12 WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WALIOMALIZA MUDA WA KUTOA HUDUMA NCHINI

 Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bw.Koji Ueda akielezea namna alivyofanya kazi katika shule ya Sekondari Sogesca iliyoko mkoani Mwanza,katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi wa Utumishi leo. Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bi. Haruka Ota akielezea namna alivyofanya kazi katika Maktaba Kuu ya Taifa,wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAWAAGA WATAALAMU 6 WALIOMALIZA MUDA WA KUJITOLEA HAPA NCHINI

 Katibu Mkuu Utumishi Bw. George D. Yambesi akimsikiliza Mwakilishi Mkazi wa JICA Tanzania Bw. Yasunori Onishi (kulia) akielezea kuhusu watalaam wa kujitolea kutoka nchini Japan  walivyofanya kazi hapa nchini katika hafla fupi ya kuwaaga wataalamu hao iliyofanyika ukumbi wa Utumishi mapema leo.  Mtaalamu wa Kujitolea katika fani ya Sayansi na Hesabu  kutoka Japan Bw. Tomotaka Tani akiwasilisha mada kuhusu uzoefu wake hapa nchini, katika hafla fupi ya kuwaaga wataalamu sita waliomaliza...

 

10 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAWAAGA WATAALAMU 12 WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WALIOMALIZA MUDA WA KUTOA HUDUMA HAPA NCHINI

 Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bw.Koji Ueda akielezea namna alivyofanya kazi katika shule ya Sekondari Sogesca iliyoko mkoani Mwanza,katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi wa Utumishi leo.
 Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bi. Haruka Ota akielezea namna alivyofanya kazi katika Maktaba Kuu ya Taifa,wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao...

 

10 years ago

Habarileo

Watangazaji waiponza Times Fm

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa onyo kali kwa kituo cha Redio cha Times Fm, pamoja na faini ya kulipa kiasi cha Sh milioni 1, kutokana na kukiuka vifungu vya maadili na kanuni za utangazaji, vilivyopo katika leseni ya utangazaji inayotolewa na mamlaka hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani