PICHA ZAIDI ZA MAHAFALI YA MRS. MATRIDA MKAMA
Matrida Mkama mara tu baada ya kukamata nondo yake .
Dr, Sweetbert Mkama naye hakua nyuma kumpa ushirikiano wa hali na mali mama watoto wake.
Dr sweetbert Mkama akiwa na Matrida Mkama pamoja na mwambata wa jeshi wa ubalozi wa Tanzania Col. Adolph Mutta.
Saa matata aliyopewa zawadi Dr Sweetbert Mkama kutoka kwa mama mwenye Nyumba wake kama ishara ya shukrani zake kwa ushirikiano alioupata kutoka kwa baba mwenye nyumba wake.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboHONGERA SANA MAMA MATRIDA MKAMA KWA KUJINYAKULIA NONDO
10 years ago
Bongo516 Aug
Picha: Flaviana Matata sasa ni Mrs Massawe, jionee picha za harusi yake
Hatimaye mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata amekuwa Mrs Massawe. Flavy na mpenzi wake wa siku nyingi Deogratius Massawe wamefunga pingu za maisha Jumamosi ya August 15, 2015 katika kanisa la St.Joseph ikafuatiwa na sherehe iliyofanyika Serena Hotel jijini Dar es salaam. Photo Credit: Various Instagram Pages Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, […]
10 years ago
Vijimambo
PICHA: FLAVIANA MATATA AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA MUDA MREFU SASA KUITWA MRS MASSAWE



KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
11 years ago
GPL
PICHA ZA MAHAFALI SAUT
Chrispine Mwashambwa na Mkewe Huruma Malema, wakiwa na nyuso za furaha muda mfupi baada ya kuhitimu masomo yao.Mwashambwa ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Mbeya,amehitimu Digrii (Masters ) yake ya Sheria, wakati mkewe amehitimu Shahada ya Ualimu katika chuo kikuu cha SAUT Juzi.
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilaya ya Mbeya,Chrispine Mwashambwana Mkewe Huruma Malema wakikata utepe muda mfupi wa kutihimu Digrii (Masters)...
10 years ago
VijimamboHABARI PICHA MAHAFALI DARASA LA SABA SHULE YA ST.MARYS MBEYA
11 years ago
Michuzi.jpg)
DW YAWAAGA WATANGAZAJI ANUARY MKAMA NA AMIDA ISSA
Anuary Mkama kutoka Radio Mlimani nchini Tanzania na mwenzake Amida Issa kutoka Burundi waagwa rasmi DW mjini Bonn baada ya kumaliza mafunzo utangazaji kwa vitendo yaliyodumu katika kipindi cha miezi sita. Wote wawili sasa wanajiandaa kurejea katika mataifa yao kwenda kutuma ujuzi waliouvuna kutoka DW Bonn.
Wafanyakazi wa DW baada ya hafla fupi ya kuwaaga watangazaji Anuary Mkama kutoka Tanzania na Amida Issa kutoka Burundi.
Anuary Mkama akikabidhiwa cheti chake na Naibu Mkuu wa Idhaa ya...
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi
introducing kazi za msanii ashery mkama wa dar es salaam

10 years ago
Mwananchi07 Nov
MKAMA: Serikali ijenge mazingira kwa wazawa kumiliki DART
>Wakati utawala wa kibaguzi wa Afrika Kusini ulipofikia ukomo na mwaka 1994, uongozi mpya wa Chama cha ANC chini ya Mzee Nelson Mandela, ulikumbana na changamoto kubwa ya kuwawezesha kiuchumi Waafrika walio wengi.
11 years ago
CloudsFM30 Sep
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania