Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola:Klabu yahofia kumwachia Traore

Madaktari wa klabu hiyo wameelezea wasiwasi kuwa huenda akaambukizwa Ebola ikiwa ataenda kuichezea klabu yake nchini Guinea.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Klabu yahofia kumwachia Traore kuogopa kupata maambukizi ya Ebola

Mchezaji soka, Ibrahima Traore (pichani) ameiomba klabu yake ya Ujerumani Borussia Monchengladbach kumruhusu kuichezea timu yake ya taifa ya Guinea katika fainali ya kufuzu kwa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika 2015.

Madaktari wa klabu hiyo wameelezea wasiwasi kuwa huenda akaambukizwa Ebola ikiwa ataenda kuichezea klabu yake nchini Guinea.

Timu ya taifa ya Guinea ,Syli Nationale itacheza katika mechi ambayo lazima washinde dhidi ya Uganda nchini Morocco ambako mechi hiyo ilihamishiwa kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nyarugusu-Tanzania yahofia Ebola

Mtu mmoja kwenye kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu mkoani Kigoma,amefariki dunia kutokana na ugonjwa unaodhaniwa kuwa ni Ebola.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mourinho: ilikuwa vigumu kumwachia Mata

Jose Mourinho amesmea kuwa ulikuwa ni 'uamuzi mgumu' kwake kumwachilia Juan Mata kujiunga na Manchester United.

 

9 years ago

Mtanzania

Ukawa wamponda Sitta kumwachia mkewe jimbo

Samuel-SittaElias Msuya,Tabora

MSAFARA wa mgombea mwenza wa urais kupitia Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji, juzi uliingia katika Jimbo la Urambo mkoani Tabora, huku makada wa umoja huo wakimponda mbunge wa jimbo hilo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta, kwa kumwachia mkewe, Margaret Sitta kugombea jimbo hilo.

Sitta ambaye pia ni Waziri wa Uchukuzi, amekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa muda mrefu, huku mkewe akiwa mbunge wa viti maalumu.

Akizungumza wakati wa...

 

9 years ago

MillardAyo

Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa kumsajili Mbwana Samatta

Headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kushika kasi, Samatta anatajwa kuwa katika mpango wa kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya,mara tu dirisha dogo la usajili la mwezi January litakapofunguliwa. Headlines ambazo zimenifikia kutoka katika mtandao wa www.voetbalkrant.com zinaripo nyota […]

The post Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa...

 

10 years ago

Mwananchi

SIASA: Zitto kumwachia cheo mgombea urais ACT

>Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema atalazimika kuachia wadhifa huo kwa mtu mwingine atakayeteuliwa na chama hicho kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

11 years ago

BBCSwahili

Libya yahofia kuporomoka

Libya imelionya baraza la usalama la UN kwamba iwapo haitapata usaidizi wa kuimarisha vikosi vyake taifa hilo litakuwa miongoni mwa mataifa yaliofeli.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uganda yahofia kunyimwa misaada

Waziri wa mambo ya nje, Sam Kutesa amesema anahofia kuwa Marekani huenda ikainyima msaada baada ya Rais Museveni kuidhinisha sheria dhidi ya ushoga

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga yahofia kusajili ‘makapi’

yanga-jjjj1NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

UONGOZI wa klabu ya soka ya Yanga umesema hauna mpango wa kufanya usajili wa dirisha dogo kwa kuhofia kukosa wachezaji wenye sifa wanazohitaji, jambo ambalo limeungwa mkono na kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van der Pluijm.

Kabla ya kuanza kwa zoezi la usajili, kocha huyo raia wa Uholanzi alikuwa akisisitiza kuwa hatasajili mchezaji yeyote kutokana na kuridhishwa na viwango vya nyota waliopo kwenye kikosi hicho ambacho kinashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani