Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola:Meli ya Marekani yazuiwa Mexico

Meli moja ya Marekani imenyinwa ruhusu ya kutia nanga katika kisiwa cha Mexico cha Cozumel kutokana na hofu ya ebola.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MELI YA MAREKANI YAZUIWA MEXICO

Meli ya Carnival Magic ya Marekani (Picha na Maktaba). Meli ya Carnival Magic ya Marekani imezuiwa kutia nanga katika kisiwa cha Mexico cha Cozumel ikihofiwa kuwa na mgonjwa wa Ebola. Meli hiyo iliondoka katika jimbo la Texas ikiwa na mhudumu mmoja wa afya ambaye alikuwa amehudumia sampuli za mgonjwa wa ebola marehemu Thomas Duncan aliyeaga dunia kutokana na ugonjwa huo. Afisa mmoja katika bandari ya Mexico alisema kuwa hatua...

 

9 years ago

BBCSwahili

Raia wa Mexico wanaihama Marekani

Utafiti ulioendeshwa nchini Marekani unaonyesha raia wengi wa Mexico wanaondoka kwenye taifa hilo kubwa zaidi ulimwenguni ukilinganisha na idadi ya wanaoingia nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yakamata meli ya Libya

Meli kubwa ya mafuta mali ya serikali ya Libya inashikiliwa na kikosi cha maalum cha wanamaji wa Marekani baada ya kukamatwa katika bahari ya kimataifa kusini mwa Cyrus.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yatuma meli ya kivita Indonesia

Wanamaji kutoka Marekani wamesema kuwa wanapeleka moja ya Manowari ya kivita kutafuta ndege ya AirAsia iliyopotea.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Marekani kuwaondoa raia wake katika meli ya Diamond Princess

Hatua hiyo inajiri huku idadi ya waliofariki kwa virusi vya corona ikizidi 1,500.

 

5 years ago

BBCSwahili

Jinsi meli tano za mafuta zilizokuwa zikielekea Venezuela zilivyozua hofu kati ya Marekani na Iran

Hali ya wasiwasi kati ya Marekani na Iran imechukua sura mpya nchini Venezuela.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yatua Marekani

Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola amegundulika nchini Marekani, katika mji wa Dallas, Texas.

 

10 years ago

Habarileo

Ebola waingia Marekani

MGONJWA wa kwanza wa virusi hatari vya ebola ambaye pia ni wa kwanza nje ya bara la Afrika, amegundulika nchini Marekani katika mji wa Dallas, Texas. Maofisa katika Kituo cha Afya cha Texas katika Hospitali ya Presbyterian wamesema mgonjwa huyo mwanamume ambaye hakutajwa jina lake, ametengwa katika hospitali hiyo.

 

10 years ago

StarTV

Mwingine apatikana na Ebola Marekani.

Mfanyikazi mwengine wa kituo cha afya aliyemtibu Thomas Dancun kabla ya kifo chake katika jimbo la Texas nchini Marekani amepatikana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 
”Tulijua kuna uwezekano wa kisa cha pili kuripotiwa ,na tumejitayarisha kwa uwezekano huo”alisema Daktari David Lakey ambaye ni kamishna wa idara ya afya katika jimbo la Texas.

 
Marehemu Dancun ambaye aliambukizwa ugonjwa huo nchini Liberia ,alifariki katika hospitali ya Dallas siku ya jumatano.

 
Hatahivyo jina la muhudumu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani