MELI YA MAREKANI YAZUIWA MEXICO
![](http://api.ning.com:80/files/NfZBQ8g66NRJ6bsuC3jR3duvlggg*oMC7x8q-BsF**dVqz8iLuCQosQX*JPgaOj-1k1TIhvitMc53zlD4YoRu5hkg13hJoZX/MELI1.jpg?width=650)
Meli ya Carnival Magic ya Marekani (Picha na Maktaba). Meli ya Carnival Magic ya Marekani imezuiwa kutia nanga katika kisiwa cha Mexico cha Cozumel ikihofiwa kuwa na mgonjwa wa Ebola. Meli hiyo iliondoka katika jimbo la Texas ikiwa na mhudumu mmoja wa afya ambaye alikuwa amehudumia sampuli za mgonjwa wa ebola marehemu Thomas Duncan aliyeaga dunia kutokana na ugonjwa huo. Afisa mmoja katika bandari ya Mexico alisema kuwa hatua...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Oct
Ebola:Meli ya Marekani yazuiwa Mexico
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Raia wa Mexico wanaihama Marekani
11 years ago
BBCSwahili19 Mar
Marekani yakamata meli ya Libya
10 years ago
BBCSwahili30 Dec
Marekani yatuma meli ya kivita Indonesia
5 years ago
BBCSwahili15 Feb
Coronavirus: Marekani kuwaondoa raia wake katika meli ya Diamond Princess
5 years ago
BBCSwahili24 May
Jinsi meli tano za mafuta zilizokuwa zikielekea Venezuela zilivyozua hofu kati ya Marekani na Iran
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcpMRlZG0d4aHrYaSifhqb3AmDqKXmqXzvf0tTJVocwsqZ*hQJhikM0W-67S5YYDX8S1l*l5sOGOTCVLuWj5pMxr/yangayazuiwa.gif?width=650)
Yanga yazuiwa kwenda Uturuki
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCglNwbJqqvohBcOWOgGfuf0Fgzco39*HPPWA6GFuWGBqQDiD1oGwFuucoBN2aV4HIxNBNYq2g02*CLRfbbrH6WP/OBAMA.jpg?width=650)
TALAKA YA OBAMA YAZUIWA IKULU
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Mikutano ya LHRC yazuiwa Kilimanjaro
SERIKALI mkoani Kilimanjaro imesimamisha kwa muda usiojulikana mikutano iliyokuwa ikifanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusu rasimu ya Pili ya Katiba...