TALAKA YA OBAMA YAZUIWA IKULU

Obama akiwa 'busy' na Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt wakati wa mazishi ya Mandela Afrika Kusini. WASHINGTON, Marekani NDOA ya Rais Barak Obama na mkewe Michelle haitaweza kuvunjika kwa sasa kwa vile mke huyo mrembo atatakiwa kuendelea kuishi katika Ikulu ya White House hadi mumewe atakapomaliza muhula wake wa pili wa uongozi mwaka 2016.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
AY AANIKA SIRI IKULU YA OBAMA
11 years ago
Habarileo15 Aug
Ikulu yakanusha JK kuhojiwa na Obama
MKURUGENZI wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu amekanusha madai yaliyotangazwa hivi karibuni kwamba, Rais Jakaya Kikwete amehojiwa na Rais wa Marekani, Barack Obama, kuhusu fedha za kampuni ya kufua umeme ya IPTL.
10 years ago
Mtanzania16 Sep
Sauti Sol wapiga shoo Ikulu ya Obama
NEW YORK, MAREKANI
KUNDI la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Sol, wamefanikiwa kuingia Ikulu ya nchini Marekani na kufanya onyesho la muziki wao kwa Rais Barack Obama.
Wasanii hao walifika Ikulu hiyo kwa mwaliko wa rais huyo, baada ya mazungumzo yao walisimama na kuimba, jambo ambalo lilimnyanyua Obama, akashirikiana na wasanii hao kucheza wimbo waliokuwa wakiuimba.
Wasanii hao wanaweka historia yao ya kuingia ikulu za marais mbalimbali ambapo awali walishaingia Ikulu ya Kenya, walikutana...
11 years ago
GPL
Yanga yazuiwa kwenda Uturuki
11 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Mikutano ya LHRC yazuiwa Kilimanjaro
SERIKALI mkoani Kilimanjaro imesimamisha kwa muda usiojulikana mikutano iliyokuwa ikifanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusu rasimu ya Pili ya Katiba...
11 years ago
GPL
MELI YA MAREKANI YAZUIWA MEXICO
10 years ago
BBCSwahili30 Nov
Man U na Arsenal zawika,Chelsea yazuiwa
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Ubakaji :Makala ya BBC yazuiwa India
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Chadema yazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa