Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mikutano ya LHRC yazuiwa Kilimanjaro

SERIKALI mkoani Kilimanjaro imesimamisha kwa muda usiojulikana mikutano iliyokuwa ikifanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusu rasimu ya Pili ya Katiba...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wimbo mpya wa wasanii wazawa wa Kilimanjaro wakielezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro — “Kilimanjaro”

IMG-20150506-WA0008

Wimbo unaelezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro, na uzuri wa Mkoa wa kilimanjaro.

 

10 years ago

GPL

MELI YA MAREKANI YAZUIWA MEXICO

Meli ya Carnival Magic ya Marekani (Picha na Maktaba). Meli ya Carnival Magic ya Marekani imezuiwa kutia nanga katika kisiwa cha Mexico cha Cozumel ikihofiwa kuwa na mgonjwa wa Ebola. Meli hiyo iliondoka katika jimbo la Texas ikiwa na mhudumu mmoja wa afya ambaye alikuwa amehudumia sampuli za mgonjwa wa ebola marehemu Thomas Duncan aliyeaga dunia kutokana na ugonjwa huo. Afisa mmoja katika bandari ya Mexico alisema kuwa hatua...

 

11 years ago

GPL

TALAKA YA OBAMA YAZUIWA IKULU

Obama akiwa 'busy' na Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt wakati wa mazishi ya Mandela Afrika Kusini. WASHINGTON, Marekani
NDOA ya Rais Barak Obama na mkewe Michelle haitaweza kuvunjika kwa sasa kwa vile mke huyo mrembo atatakiwa kuendelea kuishi katika Ikulu ya White House hadi mumewe atakapomaliza muhula wake wa pili wa uongozi mwaka 2016.… ...

 

11 years ago

GPL

Yanga yazuiwa kwenda Uturuki

Kikosi cha wachezaji wa Yanga. Wilbert Molandi na Martha Mboma
IMEFAHAMIKA kuwa, uwepo wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi umezuia kambi ya nje ya nchi ambayo Yanga ilipanga kuiweka, ikiwemo kwenda Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara. Kombe hilo la Mapinduzi linatarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 12, mwakani likishirikisha timu za Bara na Zanzibar.
Chanzo cha habari kutoka ndani ya Kamati ya...

 

10 years ago

Habarileo

Migomba ya Msumbiji yazuiwa kuingia nchini

SERIKALI imepiga marufuku uingizaji wa mbegu za migomba kutoka nchini Msumbiji baada ya kuripotiwa nchi hiyo kukumbwa na ugonjwa hatari wa migomba ujulikanao kama mnyauko fuzari.

 

10 years ago

BBCSwahili

Man U na Arsenal zawika,Chelsea yazuiwa

Mkufunzi Gus Poyet aliihangaisha timu ya Chelsea na kuwajaribu viongozi hao wa Ligi kupitia mchezo mzuru wa timu yake Sunderland.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yarudi kileleni, Mancity yazuiwa

Chelsea imerejea katika uongozi wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kuicharaza Newcastle 2-0 katika uwanja wa stamford bridge.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ubakaji :Makala ya BBC yazuiwa India

Makala ya BBC iliyoandaliwa na Leslee Udwin imezuiwa kuruka nchini India, ikihofiwa kuleta uchochezi nchini India

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema yazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

Serikali imekataa ombi la Chadema la kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuzindua kampeni zake za uchaguzi, ikisema mazingira yaliyopo sasa hayaruhusu eneo hilo kutumika kwa shughuli za kisiasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani