Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Eneo lakwamisha upanuzi wa Bandari Dar

KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande amesema uhaba wa ardhi kwa ajili ya upanuzi wa bandari, ni changamoto katika ufanisi wa kazi zao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Upanuzi wa Bandari bado kizungumkuti

>Upanuzi wa Gati namba 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam, uliosababisha kung’olewa kwa aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Omary Nundu, umeendelea kupata vikwazo baada ya kampuni ya Kichina iliyopewa zabuni ya upanuzi huo kutofika kwa kazi hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

NDITIYE ARIDHISHWA NA KASI YA UPANUZI WA BANDARI YA TANGA








Serikali Kutumia Shilingi Bilioni 172 Kuboresha Bandari Hiyo

Itakuwa na Uwezo wa Kuhudumia Meli Yenye Uzito wa Tani 35,000



Na Prisca Ulomi, WUUM, Tanga

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye ameridhishwa na kasi ya upanuzi wa Bandari ya Tanga baada ya kushuhudia kazi inayoendelea kufanyika kwenye bandari hiyo wakati wa ziara yake mkoani humo

Nditiye amesema kuwa tayari Serikali imepanga kutumia shilingi bilioni 172 kwa ajili ya kupanua bandari hiyo kwa kuongeza...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA UCHUKUZI YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUFANYA USAFI NA KUPANDA MITI YA KUZUIA MMOMOMYOKO WA ARDHI KWENYE ENEO LA BANDARI YA DAR ES SALAAM LEO

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wizara ya Uchukuzi, Bw. Issa Nchasi, akifanya usafi katika eneo la bandari ya Dar es Salaam kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo kwa mwaka huu kauli mbiu ni ‘Tunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Tanzania’. Sehemu ya wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi na taasisi zake wakiwa kwenye zoezi la usafi wa mazingira katika eneo la Bandari ya Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya siku ya...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA BANDARI MPYA YA MPIGADURI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamadi Mbarouk (wa pili kushoto) wakati alipotembelea Eneo la Ujenzi wa Bandari Mpya ya kisasa Mpigaduri Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa Kampuni ya CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD (CHEC) kutoka Nchini China,(kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi. Rais wa Zanzibar na...

 

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA BAGAMOYO WA ENEO LA BANDARI WAFANYIWE TATHIMINI UPYA-RAIS KIKWETE

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiRAIS  DK.Jakaya Kikwete ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kufanya tathimini upya kwa wakazi wa vijiji vitatu wanaopisha bandari ya Bagamoyo.
Dk.Kikwete ameyasema hayo leo  Bagamoyo wakati wa kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ,amesema kuwa wananchi wasiondoke katika maeneo yao wakiwa na manunguniko.
Amesema kuwa mradi wa ujenzi ni mkubwa hivyo wananchi wanatakiwa kupewa haki yake kutokana na eneo ikiwa pamoja na kujengewa...

 

11 years ago

Michuzi

EPZA yafikia makubaliano na kampuni kuendeleza eneo huru bandari Mtwara

 Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) imefikia makubaliano na kampuni nne za kimataifa kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali kwa kampuni kubwa zinazofanya utafiti wa mafuta na gesi katika mkoa wa Mtwara.  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Dkt. Adelhelm Meru aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuwa hatua hiyo ni muhimu sana katika undelezaji wa eneo huru la bandari ya Mtwara.  EPZA inaendeleza hekta 10 za eneo huru la bandari ya Mtwara. Hekta...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na kiongozi wa kampuni ya gesi ya Qatar na kutembelea eneo la ujenzi wa bandari mpya ya Qatar.

PG4A5517

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw.  Otty Msuku  ambaye ni Mtanzania ,  Mtalaamu wa upimaji ardhi katika mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar  wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa bandari hiyo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. Katikati ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Mradi huo, Don Morrison. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5521

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar, Bw. Yusuf...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani