Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EU yaikosoa serikalli ya TZ kuhusu sheria

Washirika wa kimaendeleo wameonyesha kutoridhishwa kwao na utekelezaji wa sheria ya uhalifu wa mitandaoni ya mwaka 2005 nchini Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Tanzania yaikosoa filamu ya albino UN

Siku moja baada ya mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, kuelezea kwa waandishi wa habari juhudi zinazofanywa na Serikali dhidi uovu wanaofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi, Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (UNHR ) imesema itashirikiana na Serikali ya Tanzania katika juhudi hizo za kuukabili uovu unaofanywa dhidi ya jamii hiyo ya Watanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Amnesty International yaikosoa Iran

Shirika la Kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International, limekosoa jaribio la Iran kuwahamasisha wanawake kuwa na watoto wengi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jamaica kulegeza sheria kuhusu Marijuana

Serikali ya Jamaica inatafakari upya mpango wa kufanyia mageuzi sheria zake za kukabiliana na matumizi ya dawa za kulevya.

 

10 years ago

Mwananchi

Nini kimejificha kuhusu Muswada wa Sheria ya Habari?

Tunawaunga mkono wabunge waliojitokeza kupinga kuwasilishwa kwa hati ya dharura muswada wa Sheria ya Kupata Habari wa mwaka 2015.

 

10 years ago

GPL

MASTAA WANASEMAJE KUHUSU SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO ?

Na Hamida Hassan
Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete aliipitisha sheria ya makosa ya mitandao kwa kutia saini.Ni sheria ambayo wengi hawajajua namna itakavyofanya kazi na huenda wengi wakaingia kwenye mtego. Jaqueline Wolper. Miongoni mwa watu watakaojikuta kwenye wakati mgumu kupitia sheria hii ni mastaa, tena hasa wa kike. Je, wao wanaizungumziaje sheria hiyo? Hebu wasikie...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: USIYOJUA KUHUSU UKURUGENZI KATIKA KAMPUNI

Na   Bashir    Yakub.
Mara  nyingi  unapounda  kampuni   huwa  ni  lazima  kueleza  katika  zile  Memorandum  kuhusu  ukurugenzi  na  wakurugenzi.  Huwezi kusajili   kampuni  ikiwa  memorandum  zako  hazioneshi  lolote  kuhusu    hilo. 
Kimsingi  nitaeleza  machache  japo  yapo   mengi kuhusu  ukurugenzi  na wakurugenzi  katika  kampuni.  Kwa  kampuni  zetu  ndogo ndogo  za  kijasiriamali  mara  zote  wakurugenzi  ndio  hao hao  wamiliki  na  ndio hao  hao  wana  hisa.  Niseme  mapema  tu kuwa...

 

10 years ago

Africanjam.Com

SHERIA YA UJERUMANI NA DENMARK KUHUSU KUWAPA MAJINA WATOTO


Ujerumani na Denmark kisheria hawaruhusiwi kuwapa watoto majina yoyote nje ya majina 7000 ambayo tayari yamepitishwa, ikitokea mtu atapenda kumuita mwanae jina alipendalo basi atatakiwa kuomba kibali maalum kanisani alafu baadae maombi hayo yanawasilishwa Serikalini, jina likipitishwa basi unaruhusiwa kulitumia.

 

10 years ago

Michuzi

makala ya sheria: UNAFAHAMU NINI KUHUSU MTAJI WA KAMPUNI.

Huwezi  kufikiria  umiliki  wa kampuni  kabla  ya kufikiria  kuhusu  mtaji  wa  kampuni. Mtaji  wa kampuni ni  suala  nyeti  kwa  wenye  wazo  la  kumiliki  kampuni  au  wanaomiliki  kampuni  tayari.  Mtaji  ndio  kila  kitu  katika  kampuni. Tangu  unapokuwa  katika  harakati  za  kusajili kampuni  utalisikia  neno  hili  mtaji  karibia katika  kila  hatua  unayopita. Niseme  mapema  kuwa  mtaji  mdogo  ndio  kampuni ndogo  na  mtaji  mkubwa  ndio  kampuni  kubwa.  Kwa  hili  mitaji ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mawakili kesi ya Sheikh Ponda wavutana kuhusu sheria ya ushahidi

Shahidi watatu katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa ushahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro huku mawakili wa upande wa mashtaka na wa utetezi wakisigana kwenye kifungu cha 150 hadi 152 cha sheria ya ushahidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani