Fabiano, Naali kukimbia
Wanariadha Fabiano Joseph, Alphonce Simbu na Mary Naali ni miongoni mwa wanariadha maarufu nchini waliothibitisha kushiriki mbio za Uhuru Marathon zilizopangwa kufanyika Desemba 7 jijini Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Fabiano, Wilbard wanatoa picha gani kuelekea Madola?
TIMU za taifa za michezo itakayoshiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola mjini Glasgow, Scotland, kwa sasa zipo kambini kwa maandalizi ya mwisho. Ni maandalizi ya mwisho kwa vile tayari mashindano...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Wakazi wahama kukimbia mafuriko
WAKAZI wa Kijiji cha Gama, Kata ya Magomeni, wilayani Bagamoyo, wamelazimika kuyakimbia makazi yao baada ya Daraja la Gama kubomoka kutokana na mafuriko, hali iliyosababisha kukosekana kwa mawasiliano baina ya...
11 years ago
Habarileo10 Feb
Vipigo vyachangia wanawake kukimbia ndoa
VIPIGO ndani ya ndoa pamoja na udhalilishwaji ni mojwapo ya changamoto zinazowakabili baadhi ya wanawake na kulazimika kukimbia nyumba zao wengine wakiwa na watoto wao huku wengine wakiwaacha na baba zao.
10 years ago
Mtanzania11 May
Lowassa: Huu ni wakati wetu wa kukimbia
NA MWANDISHI WETU, TABORA
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kukimbia kwa kasi ili kukabiliana na changamoto za maendeleo ya kisanyansi duniani.
Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli (CCM), aliyasema hayo jana alipokuwa akihutubia katika sherehe za Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu na miaka 40 ya upadri ya Askofu Paul Ruzoka wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.
Kwa mujibu wa Lowassa, elimu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi na kwamba njia sahihi ya...
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
Utafiti:Kukimbia kupitia kiasi kunadhuru
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Kinana: Hatuogopi wananchi kukimbia CCM
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema chama hicho hakitishwi wala kubabaishwa na wanachama wanaotaka kurudisha kadi za uanachama. Kauli hiyo aliitoa juzi, alipokuwa akiwahutubia wananchi wa...
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Akwepa Polisi kwa kukimbia kilomita nane
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/K_Fm5Afk45g/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/hSJwfFpvS8I/default.jpg)