Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Facebook yawajali wateja waliofariki

je wataka nani aendeleze ukurasa wako kwenye Facebook baada ya kifo chako? ama utataka ufutike kabisa kama wewe ambavyo usivyohai?.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TIGO YAZAWADIA SIMU ZA KISASA WATEJA WAKE BORA WA FACEBOOK NA TWITTER

Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii George Katoto akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kutoa tuzo kwa wateja wake bora walioshiriki zaidi katika kurasa za Facebook  na Twiiter za kampuni hiyo. Kushoto ni Meneja wa Ubora wa Huduma kwa Wateja Tigo Mwangaza Matotola na Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii kutoka Tigo Bi. Samira Baamar.
Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii kutoka Tigo Bi. Samira Baamar (wapili kulia) akimkabidhi zawadi...

 

10 years ago

Bongo5

Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’

Facebook inaanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya wafanyakazi kuwasiliana na kushirikiana kuhusiana na masuala ya kazi. Facebook at Work utaonekana vile vile kama Facebook ya kawaida, lakini watumiaji watakuwa na uwezo wa kutengenesha akaunti zao binafsi. Watumiaji watakuwa na uwezo wa kuchat na wenzao, kutengeneza mtandao wa kazi na kushare nyaraka mbalimbali. Mtandao huo ambao […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja

IMG_5019

Wateja wakisikiliza mazungumzo mojakwamoja Baina ya mteja na muhudumu wetu katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter)  IMG_5004 IMG_4911 Mkuu wa idara ya Huduma kwa wateja, Ndugu Zaeem Khan akikabidhi kadi za kipaumbele kwa wateja waliohudhuria hafla hiyo. IMG_5035 Wateja waliopata nafasi ya kutembelea kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) wakipata maelekezo kuhusu huduma za Tigo. picha 02 Picha ya pamoja ya Wafanyakazi  na wateja wa Tigo waliotembelea kituo cha Huduma kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

TTCL Wazinduwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, Kuwatembelea Wateja Popote

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akikata keki katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kuzinduwa wiki ya huduma kwa wateja leo. Kampuni ya simu ya TTCL leo imezinduwa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaanzia Oktoba 12 hadi 16, 2015. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akisaini kitabu cha wageni katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mahujaji wa TZ waliofariki wafikia 22

Idadi ya raia wa Tanzania waliofariki katika mkanyagano wakiwa katika ibada ya Hajj nchini Saudi Arabia mwezi uliopita imeongezeka na kufikia 22

 

9 years ago

Mwananchi

Mahujaji 769 waliofariki wamezikwa

Mahujaji 769 wakiwamo Watanzania wanne waliofariki dunia kwenye ibada ya Hijja katika Mji Mtakatifu wa Makka, nchini Saudi Arabia miili yao imezikwa saa chache baada ya kufariki.

 

11 years ago

GPL

MTITU AWAKUMBUKA WASANII WALIOFARIKI

Na Rhoda Josiah MWENYEKITI Msaidizi wa Klabu ya Bongo Movie Unity, William Mtitu ameguswa na kuamua kutembelea makaburi ya wasanii mbalimbali waliofariki dunia. Mwenyekiti Msaidizi wa Klabu ya Bongo Movie Unity, William Mtitu. Akizungumza na Amani mara baada ya kutembelea Makaburi ya Kinondoni wiki iliyopita, Mtitu alisema ameamua kufanya hivyo kwani amegundua wasanii wengi… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Twitter kufuta picha za waliofariki

Twitter kufuta picha za watu waliofariki ambao katika maisha yao walikuwa wanatumia mtandao huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Waliofariki dunia ajalini watambuliwa

>Watu 35 waliofariki dunia katika ajali iliyohusisha magari matatu eneo la Sabasaba Wilaya ya Butiama mkoani Mara wametambuliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani