Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAMILIA YA MISS TZ YAGOMBEA MAITI

Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima
FAMILIA ya Miss Tanzania 1999, Hoyce Nambuo Temu, inadaiwa kuingia katika mzozo mkubwa wa wapi pa kumzikia mwanafamilia mwenzao, Emmanuel Lewi Nambuo Temu (33) aliyefariki dunia Februari 15 mwaka huu katika Hospitali ya Temeke, Dar. Miss Tanzania 1999, Hoyce Nambuo Temu. Mama wa marehemu Emmanuel, Hilda Lewi Nambuo ameshikilia msimamo kwamba, mwanaye akazikwe kwenye makaburi waliyozikwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KESI YA FAMILIA YA MISS TZ KUGOMBEA MAITI: MAMA WA MAREHEMU AIBUKA KIDEDEA

Miss Tanzania 1999, Hoyce Nambuo Temu akiwasili katika Viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Temeke akiongozana na Mama wa marehemu Emmanuel, Hilda Lewi Nambuo. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC) Dkt. Helen Kijo Bisimba akiongea jambo na Hoyce Temu.…

 

10 years ago

Habarileo

Familia yagombea urais wa Sata

VITA ya kuusaka urais nchini Zambia imeingia katika hatua nyingine baada ya ndugu watatu wa familia ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Michael Sata akiwemo mjane wake, Christine Kaseba, kuchukua fomu kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi mdogo kupitia chama tawala.

 

11 years ago

CloudsFM

FAMILIA YAKATAA KUCHUKUA MAITI MOCHWARI, KISA YANYOFOLEWA VIUNGO

Vurugu kubwa zimetokea katika kijiji cha Buyango wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya wazazi kuikataa maiti ya mtoto wao kwa madai amenyofolewa viungo vyake vya mwili hali iliyosababisha polisi kutumia mabomu ya machozi kutawanya makundi yaliyofunga barabara na kubomoa chumba cha kuhifadhia maiti kutafuta viungo hivyo.

Vurugu hizo zimetokea baada ya mama mmoja mkazi wa Arusha aliyepeleka maiti ya mtumishi wake wa ndani na kuwakabidhi wazazi wake kwa masharti ya kutoifunua hali...

 

10 years ago

Dewji Blog

Miss Kilimanjaro Ambassador yatoa msaada kwa familia za vijiji vya Rau na Ulu

 Mkurugenzi wa Shindano la Miss Kiliamnjaro Ambassador, Jackline Chuwa akikabidhi msaada wa nguo na viatu kwa wakazi wa vijiji vya Ulu na Rau vilivyopo karibu na mji wa Moshi kwa udhamini wa kampuni ya Dream for Life iliyopo mkoani Kilimanjaro.

 Warembo wa Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 wakiangalia wenzao wanaochuana katika mchezo wa kuvuta kamba,kukimbia na kucheza muziki,ambapo warembo hao waliwashinda wafanyakazi wa Dream for Life.

 

Warembo wanaowania taji...

 

11 years ago

Habarileo

Makundi yagombea Msikiti Mkuu Bahi

KUMEZUKA hali ya sintofahamu katika Msikiti Mkuu wa Wilaya ya Bahi, ambapo makundi mawili yanayotofautiana yana hangaika kukamata msikiti huo kwa maslahi ya makundi yao.

 

11 years ago

Michuzi

Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)

Photo credits: moneymanagement.org Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Katika kipindi hiki, tumeingia katika sehemu ya pili ya mjadala kuhusu BAJETI KATIKA FAMILIA ambapo mbali na historia ya bajeti, pia tumesisitizwa kuhusu umuhimu wake, namna ya kulitekeleza na mengine mengi. Wachangiaji studio walikuwa ni Amos Cherehani ambaye ni mtaalamu wa masuala ya fedha, Denzel Musumba na Mubelwa Bandio KARIBU UUNGANE NASI

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii aliyekuwa Kahama.BUZWAGI imeanzisha mkakati wa kukuza na kuboresha hali ya utendaji kazi kwa wafanyakazi wake kwa kuanzisha utaratibu wa kuwakutanisha wafanyakazi wa mgodi huo na familia zao mara moja kwa mwaka katika siku maalumu ya familia ambayo hutoa fursa kwa familia za wafanyakazi wa mgodi huo kuweza kujionea namna ambavyo shughuli za uchimbaji wa madini hufanyika na hivyo kuwa mabalozi wazuri wa kampuni kwa ujumla.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...

 

9 years ago

Bongo5

Miss Universe 2015: Mc amtangaza Miss Colombia kimakosa kuwa mshindi, na baadaye kumvua taji na kumvisha mshindi halali Miss Philippines (Video/Picha)

miss universe1

Shindano la kumtafuta Miss Universe 2015 limefanyika Jumapili Dec.19 huko Hollywood, Marekani, ambapo Pia Alonzo Wurtzbach wa Philippines alitangazwa mshindi.

miss universe1
Miss Universe 2015 Pia Alonzo

Kabla ya Pia kutangazwa mshindi ilijitokeza hali ya sintofahamu, pale ambapo Mc wa tukio hilo Steve Harvey alipomtangaza kimakosa Miss Colombia kuwa ndio mshindi na kuvishwa kabisa taji.

miss colombia

Kwa dakika kadhaa Miss Colombia alikaa na taji hilo huku akipunga bendera ya nchi yake akionekana mwenye furaha.

miss universe-2
Miss...

 

9 years ago

Bongo5

Miss Colombia atoa ya moyoni kuhusu kuporwa ushindi wa Miss Universe

miss universe

Baada ya shindano la Miss Universe lililofanyika Jumapili iliyopita (Dec 20) kukumbwa na dosari ya MC kukosea kumtaja mshindi, Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi na dakika chache baadaye kupigwa na butwaa baada ya MC Steve Harvey kurudi na kutangaza kuwa alipewa ushindi kimakosa, hatimaye mrembo huyo ametoa ya moyoni na kumpongeza mshindi wa mwaka huu Miss Ufilipino.

miss universe

Kupitia Instagram yake Miss Colombia , Ariadna Gutierrez aliandika ujumbe mrefu wa kugusa kuhusu kilichotokea,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani