Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAMILIA YAKATWA MAPANGA

Stori: Waandishi Wetu Tukio hilo lilitokea Aprili 18, mwaka huu, maeneo ya Mkuranga mkoani Pwani ambapo awali familia hiyo ilipata taarifa kuwa kuna watu wanaonekana kwenye shamba lao wakikata miti na kujipimia maeneo, hali iliyowalazimu kufunga safari ili kujua watu hao walikuwa na lengo gani. Mmoja wa wanafamilia aliyejeruhiwa alitambukika kwa jina moja la Coline. Akizungumza na waandishi wetu, Karim alisema kuwa akiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

5 wa familia moja wafa kwa kukatwa mapanga

WATU watano wa familia moja akiwemo mtoto wa miezi tisa, wameuawa kwa kukatwa mapanga kutokana na ugomvi unaodaiwa kua wa mgogoro wa ardhi katika kijiji cha Kisesa katika Kata ya Bugarama, wilayani Maswa, Mkoani Simiyu.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yakatwa mapato

>Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi imeliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuzuia mapato yote ya mlangoni ya Yanga ili kufidia deni la Sh.106 milioni wanazodaiwa na wachezaji wake wa zamani wa Wisdom Ndlovu na Stephen Marashi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mawasiliano ya kijamii yakatwa Burundi

Utawala nchini Burundi umekata mawasiliano ya mitandao ya kijamii kupitia kwa simu za mkononi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mishahara ya wakuu wa umma yakatwa ZIM

Wakuu wa makampuni ya umma nchini Zimbabwe watakatwa mishahara baada ya kubainika kwa kashfa ya malipo yasiyo halali

 

10 years ago

BBCSwahili

Sheria ya usalama yakatwa makali Kenya

Mahakama kuu nchini Kenya imesimamisha kwa muda matumizi ya baadhi ya vipengee vya sheria ya usalama yenye utata ilioidhinishwa

 

11 years ago

Michuzi

Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)

Photo credits: moneymanagement.org Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Katika kipindi hiki, tumeingia katika sehemu ya pili ya mjadala kuhusu BAJETI KATIKA FAMILIA ambapo mbali na historia ya bajeti, pia tumesisitizwa kuhusu umuhimu wake, namna ya kulitekeleza na mengine mengi. Wachangiaji studio walikuwa ni Amos Cherehani ambaye ni mtaalamu wa masuala ya fedha, Denzel Musumba na Mubelwa Bandio KARIBU UUNGANE NASI

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii aliyekuwa Kahama.BUZWAGI imeanzisha mkakati wa kukuza na kuboresha hali ya utendaji kazi kwa wafanyakazi wake kwa kuanzisha utaratibu wa kuwakutanisha wafanyakazi wa mgodi huo na familia zao mara moja kwa mwaka katika siku maalumu ya familia ambayo hutoa fursa kwa familia za wafanyakazi wa mgodi huo kuweza kujionea namna ambavyo shughuli za uchimbaji wa madini hufanyika na hivyo kuwa mabalozi wazuri wa kampuni kwa ujumla.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...

 

11 years ago

GPL

MTOTO AOKOTWA AMEKATWA MAPANGA

Stori: Makongoro Oging’
MTOTO Ismail Barihegi, mwenye umri wa miaka 12 mkazi  wa Kijiji cha  Fukayosi wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ameokotwa akiwa amekatwa  mapanga baada ya kudaiwa kuipeleka mifugo yao katika mashamba. Mtoto Ismail Barihegi. Barihegi ambaye amelazwa katika Jengo la Mwaisela Wodi na 17, Muhimbili, alimwambia mwandishi wa habari hizi kwamba siku ya tukio (hakumbuki)alikuwa akichunga...

 

10 years ago

GPL

MUME AMCHARANGA MAPANGA MKEWE!

Ashura Ramadhani anayedaiwa kucharangwa mapanga na mumewe. Na Haruni Sanchawa WIVU! Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Abdallah, mkazi wa Gongo la Mboto, Ilala jijini Dar es Salaam, anadaiwa kumkatakata kwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili mkewe Ashura Ramadhani kwa kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Chanzo cha kuaminika kililiambia gazeti hili juzi kuwa Abdallah baada ya kufanya unyama huo, alikimbilia kusikojulikana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani