Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FEISAL NA CHERRYSE WAMEREMETA

Feisal na Cherryse wakichumu kwenye  ndoa yao iliyofanyika siku ya Jumamosi May 30, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani. Feisal na Cherryse ni wakaazi wa Durham, North Carolina.Bwn. Harusi akiingia ukumbini.Bi. harusi akiingia ukumbini akisindikizwa na mpambe wake.Ndoa akifungishwa.Bwana na Bi. harusi wakiwa katika picha ya pamoja kama Mke na Mume.Feisal akimlisha keki mpenzi mke wake Cherryse.Cherryse akimlisha keki mpenzi mumewe.Kushoto ni mama wa Bwana harusi Mama Njenje kulia ni...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ALVIN NA SUSAN WAMEREMETA


 Alvin akivisha pete Susan kwenye harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 2, 2014 kwenye ukumbi wa Noah's uliopo Fairview ma kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila kona ya Dunia. Susan akimvisha pete Alvin kwenye harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 2, 2014 kwenye ukumbi wa Noah's uliopo Fairview ma kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila kona ya Dunia.Maharusi wakichum baada kufunga ndoa yao.Maharusi wakitoka nje baada ya ndoa yao kumalizika kuelekea kupata...

 

10 years ago

Vijimambo

EMMANUEL NA HAPPY WAMEREMETA

Bwana na Bi. harusi wakiingia kwenye ukumbi wa Best Western Lanham, Maryland siku ya Jumamosi April 4, 2015 kusherehekea harusi yao iliyohudhuria na ndugu,jamaa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali ikiwemo Tanzania.Bwana na Bi. harusi wakiingia ukumbini huku wakipigiwa vigeregere.Ndug, jamaa na marafiki wakiwashangilia huku wengine wakipata ukodak moment baada ya maharusi kufika meza kuu.Maharusi wakiwa meza kuu.Maharusi na wapambe wao.Maharusi wakichukua chakula.Maharusi wakila chakula.Bi....

 

11 years ago

Michuzi

wadau zuberi na asha wameremeta


Sherehe za harusi ya Bw. Zuberi Hamis Khalid na Asha Shaban Maji katika ukumbi wa Marquee wa Serena Hotel jijini Dar es salaam Jumamosi Juni 14, 2014

 

11 years ago

GPL

AZIZ HASHIM, ZAINAB WAMEREMETA

Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Aziz Hashim, akiwa kwenye picha ya pamoja na mkewe Zainab Hashim, muda mfupi baada ya kufunga ndoa yao iliyofungwa nyumbani kwao na Zainab Tabata jijini Dar es Salaam leo mchana. Aziz Hashim akiwa amembeba mkewe Zainab kwa furaha.…

 

11 years ago

GPL

WANANDOA COSMAS NA ROSE WAMEREMETA

Wanandoa Cosmas na Rose wakimeremeta wakati wa harusi yao iliyofungwa katika Kanisa la Mwananyamala na baadaye hafla iliyofanyika Mayfair Plaza, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Maharusi wakipozi na kamati ya maadanlizi ya harusi.…

 

11 years ago

Michuzi

wadau sereki na zainab wameremeta

 Wadau Sereki na Zainab wakila pozi baada ya kumeremeta hivi karibuni  Sereki na Zainab wakifurahia siku yao ya kwanza pamoja  Mmmmmmmwwwwwwwaaaaaaaa.... Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

ADAM MZEE NA LILIAN WAMEREMETA

 Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi,waliosimama kutoka kushoto ni,Merry Geofrey,Sheila Simba,Hafidh Kido ,John Bukuku,Suleiman Mwenda,Micky, Said Mwishehe,Sharifa,Neema Mwangomo,Abdala Kiluke,Mringi Petro ,katika Harusi ya Adam Mzee iliyofanyika katika Ukumbi wa Kivukoni,Serena Hotel.
Adam Mzee ni mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu ,Idara ya Itikadi na Uenezi,na ni mmiliki wa  blog maarufu ya Kamerayangu na Lilian ni mtumishi wa NMB Makao Makuu. Katibu Mkuu wa Chama...

 

9 years ago

Vijimambo

RAHIM NA ANASSA CHOMBA WAMEREMETA HOUSTON, TX

Mchezaji wa zamani wa timu za Ashanti United na DC United Rahim Chomba juzi katika jiji la Houston aliachana na kambi ya ukapera baada ya kufunga ndoa na mlimbwende Anassa Kambi. Harusi hiyo ya kukata na shoka ilihudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki kutoka pande mbalimbali za dunia  ikiwemo nyumbani Tanzania. Kamera yetu ilikuwepo ukumbini kupata picha za tukio hilo.

Bwana na Bibi ChombaMaharusi wakiingia ukumbini
Maharusi na MaidsBibie Anassa akimlisha keki mumewe RahimLovely Couple



The First...

 

10 years ago

Vijimambo

FRIDA MTEI NA LAVORN CRYOR WAMEREMETA

Frida Mtei na Lavorn Cryor wakipata picha ya pamoja kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika siku ya Jumampili Sept 21, 2014 katika ukumbi wa La Fontaine Blue uliopo Lanham, Maryland nichini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali akiwemo mama mzazi na ndugu zake Bi. harusi kutoka Tanzania.Bwn. na Bi harusi wakiingia ukumbini kusherehekea harusi yao iliyofanyika siku ya Jumampili Sept. 21, 2014 katika ukumbi wa La Fontaine Blue uliopo Lanham, Maryland...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani