RAHIM NA ANASSA CHOMBA WAMEREMETA HOUSTON, TX
Mchezaji wa zamani wa timu za Ashanti United na DC United Rahim Chomba juzi katika jiji la Houston aliachana na kambi ya ukapera baada ya kufunga ndoa na mlimbwende Anassa Kambi. Harusi hiyo ya kukata na shoka ilihudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki kutoka pande mbalimbali za dunia ikiwemo nyumbani Tanzania. Kamera yetu ilikuwepo ukumbini kupata picha za tukio hilo.Bwana na Bibi Chomba
Maharusi wakiingia ukumbini
Maharusi na Maids
Bibie Anassa akimlisha keki mumewe Rahim
Lovely Couple
The First...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboEMMANUEL NA HAPPY WAMEREMETA
11 years ago
MichuziALVIN NA SUSAN WAMEREMETA
Alvin akivisha pete Susan kwenye harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 2, 2014 kwenye ukumbi wa Noah's uliopo Fairview ma kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila kona ya Dunia.
10 years ago
VijimamboFEISAL NA CHERRYSE WAMEREMETA
11 years ago
GPLWANANDOA COSMAS NA ROSE WAMEREMETA
10 years ago
Michuzi
ADAM MZEE NA LILIAN WAMEREMETA

Adam Mzee ni mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu ,Idara ya Itikadi na Uenezi,na ni mmiliki wa blog maarufu ya Kamerayangu na Lilian ni mtumishi wa NMB Makao Makuu.

11 years ago
Michuzi15 Jun
wadau zuberi na asha wameremeta
Sherehe za harusi ya Bw. Zuberi Hamis Khalid na Asha Shaban Maji katika ukumbi wa Marquee wa Serena Hotel jijini Dar es salaam Jumamosi Juni 14, 2014
11 years ago
Michuzi
wadau sereki na zainab wameremeta

.jpg)
.jpg)
11 years ago
GPLAZIZ HASHIM, ZAINAB WAMEREMETA
11 years ago
MichuziRENATUS MALULU NA IMERESIANA CHARLES WAMEREMETA