Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FIFA:Rais wa soka Bolivia akamatwa

Rais wa shirikisho la soka nchini bolivia Carlos Chavez amekamatwa kama sehemu ya uchunguzi unaohusu ufisadi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

FIFA yamuunga rais mpya wa soka Nigeria

Rais wa FIFA Sepp Blatter amemuunga mkono Amaju Pinnick kama rais mpya wa shirikisho la soka nchini Nigeria NFF.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mzaha wamtia mashakani rais wa Bolivia

Rais wa Bolivia Evo Morales ameomba msamaha kwa kufanya mzaha kuhusu uwezekano wa waziri wake wa afya Ariana Campero kuwa mpenzi wa jinsia moja.

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA NCHI ZA G77+CHINA NCHINI BOLIVIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza katika mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya nchi za G77 na China, uliofanyika jijini Santa Cruz, Bolivia jana Juni 15, 2014. Sehemu ya washiriki na wawakilishi wa viongozi wa mataifa mbalimbali katika mkutano huo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akiwa na baadhi ya Viongozi kutoka mataifa mbalimbali wakati wa ufunguzi wa maadhimisho hayo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal ahudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya nchi za G77 na China Jijini Santa Cruz, Bolivia

01.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokewa na wenyeji wake wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Bolivia Juni 13, 2014 kwa ajili ya kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Nchi za G 77 na China, yanayofanyika leo Juni 15, 2014, jijini Santa Cruz, Bolivia. (Picha na OMR).

02

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Meya wa Jiji la Santa Cruz,  Percy Fernandez, wakati alipowasili kwenye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Fifa yataja viwango vya ubora wa soka

Tanzania na Uganda zimeshuka katika viwango ya FIFA vilivyotolewa wiki hii huku Kenya , Sudan na Rwanda zikipanda.

 

10 years ago

BBCSwahili

Fifa yatoa viwango vipya vya soka .

FIFA imetoa viwango vipya vya soka duniani ,Tanzania na Rwanda zikishuka wakati Kenya, Uganda na Burundi zikipanda viwango.

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA yawapa marufuku maafisa wa soka Congo

Maafisa wawili wa shirikisho la soka nchini Congo Brazaville wamepigwa marufuku na shirikisho la soka duniani FIFA

 

9 years ago

Bongo5

Kamati ya FIFA yataka Platini apigwe marufuku ya maisha ya maswala ya soka

151112085912_michel_platini_640x360_rianovosti_nocredit

Kamati ya maadili ya FIFA imependekeza kuwa rais aliyesimamishwa kazi wa UEFA Michel Platini apigwe marufuku ya maisha asishiriki maswala yeyote ya kandanda.

151112085912_michel_platini_640x360_rianovosti_nocredit

Wakili wake ameiambia shirikisho la habari la AFP kuwa kamati ya nidhamu ilikuwa imependekeza marufuku ya maisha kwa mteja wake kufuatia malipo ya mamilioni ya Euro.

Platini na Blatter wote wanatumikia adhabau ya marufuku ya siku 90 kufuatia uchunguzi wa malipo ya dola milioni mbili.

Wakili anayemwakilisha Platini, Thibaud d’Ales...

 

9 years ago

Bongo5

Hii orodha mpya ya viwango vya soka duniani FIFA, Tanzania yashika nafasi ya 136

Shirikisho la soka duniani Fifa limetangaza viwango vya ubora vya mchezo wa soka kwa mwezi Septemba ambapo Argentina wanaendelea kuongoza katika chati hiyo. Mabingwa wa dunia Ujerumani wanashika nafasi ya pili, huku Ubelgiji wakishika nafasi ya tatu katika viwango vya ubora. Algeria ndio taifa la Afrika linaloongoza likiwa nafasi ya 19 huku Ivory Coast wakiwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani